Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uganda

  • Rais Rouhani: Inapasa nchi zote zitangaze misimamo yao kuhusu hatua za kiuadui za Marekani

    Rais Rouhani: Inapasa nchi zote zitangaze misimamo yao kuhusu hatua za kiuadui za Marekani

    Apr 21, 2020 22:44

    Rais Hassan Rouhani amesema: Katika mazingira maalumu ya hivi sasa yanayotokana na kuenea virusi vya corona duniani, nchi zote zinapaswa kuwa bega kwa bega katika kupambana na kirusi hicho angamizi na kutangaza kwa uwazi kabisa misimamo yao kuhusiana na hatua za kiuadui za Marekani.

  • Uganda yashtakiwa EACJ kwa 'sheria kandamizi' za kudhibiti corona

    Uganda yashtakiwa EACJ kwa 'sheria kandamizi' za kudhibiti corona

    Apr 11, 2020 06:41

    Wakili mmoja wa Uganda ameishtaki serikali ya Rais Yoweri Museveni katika Mahakama ya Uadilifu ya Afrika Mashariki EACJ akitaka kuondolewa zuio la kutoka nje lililotangazwa na serikali kama moja ya njia za kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19 (corona) nchini humo.

  • Waathirika wa corona Rwanda wafikia 50, Rais Museveni atangaza ongezeko la waathiriwa Uganda

    Waathirika wa corona Rwanda wafikia 50, Rais Museveni atangaza ongezeko la waathiriwa Uganda

    Mar 27, 2020 11:03

    Janga la ugonjwa wa COVID19 na virusi vya corona linaloisumbua dunia limeendelea kulinyemea kwa kasi kubwa bara la Afrika baada ya Rwanda kuripoti maambukizi mapya 9 ya virusi hivyo.

  • SAUTI, Wachina sita waliokuwa wamewekwa karantini nchini Uganda wanaswa wakijaribu kutoroka

    SAUTI, Wachina sita waliokuwa wamewekwa karantini nchini Uganda wanaswa wakijaribu kutoroka

    Mar 23, 2020 12:07

    Watu sita wenye uraia wa China wametiwa mbano nchini Uganda, wakati wakijaribu kutoroka kutoka nchi hiyo mwakachana wa Jumuisha ya Afrika Mashariki.

  • Uganda yamkamata jenerali wa zamani wa jeshi kwa tuhuma za kutaka kumpindua Museveni

    Uganda yamkamata jenerali wa zamani wa jeshi kwa tuhuma za kutaka kumpindua Museveni

    Mar 13, 2020 09:19

    Jeshi la Polisi Uganda limetangaza leo Ijumaa habari ya kumtia mbaroni jenerali wa zamani wa jeshi la nchi hiyo kwa madai ya kuomba msaada na uungaji mkono wa Rwanda ili kumuondoa madarakani Rais Yoweri Museveni wa nchi hiyo.

  • Watu 20 wauawa katika shambulizi dhidi ya kambi ya jeshi la Uganda

    Watu 20 wauawa katika shambulizi dhidi ya kambi ya jeshi la Uganda

    Mar 11, 2020 00:26

    Kwa akali watu 20 wameuawa katika shambulizi la wanamgambo waliobeba silaha dhidi ya kambi moja ya jeshi kaskazini magharibi mwa Uganda, mpakani na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • SAUTI: Wapiganaji magaidi kutoka Kongo DR waliovamia kambi ya jeshi la Uganda, UPDF na kutenda jinai, watiwa mbaroni 25 kati yao

    SAUTI: Wapiganaji magaidi kutoka Kongo DR waliovamia kambi ya jeshi la Uganda, UPDF na kutenda jinai, watiwa mbaroni 25 kati yao

    Mar 09, 2020 12:56

    Wapiganaji 25 kutoka kundi linalotambuliwa na serikali ya Uganda kuwa la kigaidi wametiwa mbaroni na jeshi la nchi hiyo UPDF karibu na mpaka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongoa.

  • Wilaya nyingine 15 zavamiwa na nzige nchini Uganda + Sauti

    Wilaya nyingine 15 zavamiwa na nzige nchini Uganda + Sauti

    Feb 18, 2020 07:47

    Janga la nzige limezidi kuwa tishio barani Afrika huku wizara ya kushughulikia majanga nchini Uganda ikisema kuwa, wilaya nyingine 15 zimevamiwa na wadudu hao nchini humo. Kigozi Ismail na maelezo zaidi kutoka Kampala

  • Rais wa Iran kuitembelea Uganda kushiriki 'Kongamano la Kusini'

    Rais wa Iran kuitembelea Uganda kushiriki 'Kongamano la Kusini'

    Feb 14, 2020 04:07

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anatazamiwa kuitembelea Uganda karibuni hivi kushiriki Kongamano la Kusini

  • Virusi vya Corona; watu 100 wawekwa karantini nchini Uganda

    Virusi vya Corona; watu 100 wawekwa karantini nchini Uganda

    Feb 07, 2020 23:29

    Wasafiri zaidi ya 100 wawekwa karantini baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege mjini Kampala nchini Uganda wakitokea nchini China.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS