Wilaya nyingine 15 zavamiwa na nzige nchini Uganda + Sauti
Feb 18, 2020 11:17 UTC
Janga la nzige limezidi kuwa tishio barani Afrika huku wizara ya kushughulikia majanga nchini Uganda ikisema kuwa, wilaya nyingine 15 zimevamiwa na wadudu hao nchini humo. Kigozi Ismail na maelezo zaidi kutoka Kampala
Tags