Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uganda

  • Juhudi za utawala haramu wa Israel za kutafuta washirika barani Afrika

    Juhudi za utawala haramu wa Israel za kutafuta washirika barani Afrika

    Feb 05, 2020 03:25

    Ikiwa ni katika kuendeleza juhudi zake za kuwa na ushawishi na kutafuta washirika kwa minajili ya kutekeleza siasa zake za kivamizi, Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala haramu amekutana na kufanya mazungumzo mjini Entebe Uganda na Luteni Jenerali Abdul-Fattah al-Burhan, Kiongozi wa Baraza la Utawala la Sudan.

  • Chama cha FDC chailaumu vikali serikali ya Uganda + Sauti

    Chama cha FDC chailaumu vikali serikali ya Uganda + Sauti

    Jan 20, 2020 12:48

    Kwa mara nyingine tena, mwanasiasa mkongwe katika chama cha FDC nchini Uganda, Daktari Kizza Besigye ameikosoa vikali serikali ya Rais Yoweri Museveni kutokana na ubabe na ukandamizaji unaofanywa na vyombo vya dola dhidi ya wapinzani. Kigozi Ismail na maelezo zaidi kutoka Kampala.

  • Mapigano yasababisha mamia ya raia wa Kongo DR wakimbilie Uganda

    Mapigano yasababisha mamia ya raia wa Kongo DR wakimbilie Uganda

    Jan 02, 2020 10:41

    Mamia ya raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamekimbilia nchini Uganda ndani ya mwezi mmoja uliopita kutokana na kushtadi mapigano ya kikabila nchini kwao.

  • Uganda yapongezwa na WHO kwa kukazania afya ya jamii + Sauti

    Uganda yapongezwa na WHO kwa kukazania afya ya jamii + Sauti

    Dec 27, 2019 12:15

    Serikali ya Uganda imepongezwa kwa kusimamia na kukazania vyema afya katika jamii kuanzia mashinani. Pongezi hizo zimetolewa na Shirika la Afya Duniani, WHO. Kigozi Ismail na maelezo zaidi kutoka Kampala…

  • Mazungumzo ya Uganda na Rwanda yagonga mwamba

    Mazungumzo ya Uganda na Rwanda yagonga mwamba

    Dec 14, 2019 04:38

    Mkutano wa wajumbe wa Rwanda na Uganda uliofanyika jana Ijumaa jijini Kampala haujakuwa na tija.

  • Idadi ya waliokufa kutokana na mafuriko Burundi yafika 43, Uganda 22

    Idadi ya waliokufa kutokana na mafuriko Burundi yafika 43, Uganda 22

    Dec 08, 2019 08:40

    Idadi ya watu walipoteza maisha kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika nchi kadhaa za Afrika Mashariki imeongezeka.

  • Tume ya Uchaguzi Uganda yakumbwa na kashfa nyingine mpya + Sauti

    Tume ya Uchaguzi Uganda yakumbwa na kashfa nyingine mpya + Sauti

    Dec 02, 2019 13:29

    Baada ya Tume ya Uchaguzi nchini Uganda kufunguliwa mashtaka ya makosa ya kukaa ofisini kinyume cha sheria, tume hiyo sasa imekumbwa na kashfa nyingine ya kisiasa... Kigozi Ismail na maelezo zaidi kutoka Kampala.

  • Rwanda: Tunafuatilia kadhia ya kukamatwa mamia ya raia wetu Uganda

    Rwanda: Tunafuatilia kadhia ya kukamatwa mamia ya raia wetu Uganda

    Nov 26, 2019 11:25

    Balozi wa Rwanda jijini Kampala amesema wanafuatilia kwa karibu habari ya kukamatwa mamia ya Wanyarwanda na maafisa usalama wa Uganda, katika mji wa Kisoro, magharibi mwa Uganda.

  • Zaidi ya familia 50 zahamishwa katika mpaka wa Uganda na Kenya kutokana na mafuriko + Sauti

    Zaidi ya familia 50 zahamishwa katika mpaka wa Uganda na Kenya kutokana na mafuriko + Sauti

    Nov 25, 2019 12:10

    Familia zaidi ya 50 zimehamishwa kutoka kwenye mpaka wa Uganda na Kenya kutokana na kuhofia maafa yanayoweza kusababishwa na mvua kubwa zinazonyesha mfululizo. Kigozi Ismail na ripoti zaidi kutoka Kampala.

  • SAUTI, Wafanyabiashara wa Uganda: Rwanda bado haijatufungulia kikamilifu mpaka wake

    SAUTI, Wafanyabiashara wa Uganda: Rwanda bado haijatufungulia kikamilifu mpaka wake

    Nov 19, 2019 12:33

    Wafanyabiashara wa Uganda wameendelea kulalamikia hatua ya serikali ya Rwanda ya kutofungua kikamilifu mipaka yake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS