Chama cha FDC chailaumu vikali serikali ya Uganda + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i58639-chama_cha_fdc_chailaumu_vikali_serikali_ya_uganda_sauti
Kwa mara nyingine tena, mwanasiasa mkongwe katika chama cha FDC nchini Uganda, Daktari Kizza Besigye ameikosoa vikali serikali ya Rais Yoweri Museveni kutokana na ubabe na ukandamizaji unaofanywa na vyombo vya dola dhidi ya wapinzani. Kigozi Ismail na maelezo zaidi kutoka Kampala.
(last modified 2026-01-14T11:42:18+00:00 )
Jan 20, 2020 16:18 UTC