Uganda yapongezwa na WHO kwa kukazania afya ya jamii + Sauti
Dec 27, 2019 15:45 UTC
Serikali ya Uganda imepongezwa kwa kusimamia na kukazania vyema afya katika jamii kuanzia mashinani. Pongezi hizo zimetolewa na Shirika la Afya Duniani, WHO. Kigozi Ismail na maelezo zaidi kutoka Kampala…
Tags