Tume ya Uchaguzi Uganda yakumbwa na kashfa nyingine mpya + Sauti
Dec 02, 2019 13:29 UTC
Baada ya Tume ya Uchaguzi nchini Uganda kufunguliwa mashtaka ya makosa ya kukaa ofisini kinyume cha sheria, tume hiyo sasa imekumbwa na kashfa nyingine ya kisiasa... Kigozi Ismail na maelezo zaidi kutoka Kampala.
Tags