-
SAUTI, Jeshi la Uganda: Hatujafunga mlango wa msamaha kwa ajili ya waasi wanaohusika na ghasia nchini
Mar 18, 2019 13:42Jeshi la Uganda limesema kuwa, mlango wa msamahama kwa ajili ya waasi wanaohusika na machafuko nchini humo, bado upo wazi.
-
SAUTI, Mkutano wa viongozi kadhaa wa Afrika waendelea mjini Munyonyo, Uganda. Masuala muhimu yajadiliwa
Mar 13, 2019 13:38Mkutano wa viongozi kadhaa wa Afrika na unaojadili masuala muhimu barani humo, umeendelea leo kwa siku yake ya pili mjini Munyonyo, karibu na jiji la Kampala nchini Uganda.
-
EAC yataka viongozi wa nchi wawafikie wananchi wa mashinani +Sauti
Mar 09, 2019 06:57Wanasiasa wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wametaka wananchi wa mashinani wa nchi za jumuiya hiyo wafikiwe na maamuzi makuu ili thamani yao iweze kulindwa. Mwandishi wetu wa Kampala, Uganda na taarifa zaidi...
-
SAUTI, Uganda yashangazwa na hatua ya Rwanda kuendelea kufunga mipaka yake, Kigali yasema haijafunga
Mar 04, 2019 13:47Hali ya suitafahamu imeendelea kutawala kati ya Rwanda na Uganda kufuatia hatua ya serikali ya Kigali kuendelea kufunga mipaka yake.
-
Wanaharakati wataka balozi wa Uganda nchini Burundi ajiuzulu + Sauti
Feb 26, 2019 03:05Wanaharakati wa haki za binadamu wa nchini Uganda wametaka balozi wa nchi hiyo huko Burundi, Matayo Kyaligonza, ajiuzulu. Maelezo zaidi anayo mwandishi wetu wa Kampala, Kigozi Ismail…
-
Iran na Uganda zasisitiza kustawisha uhusiano wao wa pande mbili
Feb 23, 2019 12:17Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Uganda na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo wamesisitiza kustawishwa uhusiano wa pande mbili katika nyanja mbali mbali.
-
SAUTI, Serikali ya Uganda yaendelea kuwatimua wakurugenzi wa Shirika la Mawasiliano ya Simu MTN kwa sababu za usalama
Feb 15, 2019 13:05Serikali ya Uganda imeendelea kuwatimua wakurugenzi wa Shirika la Mawasiliano ya Simu za Mkononi nchini humo MTN kutokana na sababu za kiusalama.
-
Taarifa ya polisi wa uganda kuhusu vita dhidi ya mihadarati na pasi za kughushi + Sauti
Feb 11, 2019 13:44Polisi ya Uganda imetangaza kuwa imemtia mbaroni mtu mmoja mwenye uwezo wa kughushi pasi za kusafiria na vile vile imeripoti kwamba mwanamke mmoja raia wa nchi hiyo amenaswa na madawa ya kulevya mjini Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu. Kwa maelezo kamili, tumtegee sikio ripota wetu wa mjini Kampala, Kigozi Ismail...
-
Waziri wa Uganda atakiwa ajiuzulu kwa kutangaza utalii wa ngono kupitia 'wanawake wenye maumbo yaliyochongoka'
Feb 08, 2019 04:50Serikali ya Uganda imetakiwa ifute mashindano ya wanawake warembo "wenye maumbo yaliyochongoka" yanayolenga kuvutia wageni na watalii zaidi ili watembelee nchi hiyo, ikielezwa kwamba kitendo hicho ni kuwageuza wanawake kuwa bidhaa na kutangaza utalii wa ngono.
-
SAUTI, Uganda: Ugonjwa wa saratani unaua watu wengi zaidi kuliko malaria na kifua kikuu, uvutaji sigara ni sababu kuu
Feb 04, 2019 12:11Wizara ya Afya nchini Uganda imetangaza kwamba, ugonjwa wa saratani unaangamiza maisha ya watu wengi kuliko hata maradhi ya malaria.