• EAC inayoendelea na kikao mjini Arusha Tanzania, yalaumiwa + Sauti

    EAC inayoendelea na kikao mjini Arusha Tanzania, yalaumiwa + Sauti

    Feb 02, 2019 04:43

    Kikao cha siku mbili cha 20 cha kawaida cha wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC kinachofanyika mjini Arusha Tanzania, jana Ijumaa, Februari Mosi 2019 kilimteua Rais Paul Kagame wa Rwanda kuwa mwenyekiti wake mpya baada ya kumalizika uenyekiti wa kupokezana wa Rais Yoweri Museveni wa Uganda. Hata hivyo jumuiya ya Afrika Mashariki inalaumiwa kwa kutotekeleza kivitendo maazimio mengi inayofikia kwenye vikao vyake. Kigozi Ismail na maelezo zaidi kutoka Kampala...

  • Kampeni ya kusafisha majambazi yaendelea nchini Uganda + Sauti

    Kampeni ya kusafisha majambazi yaendelea nchini Uganda + Sauti

    Jan 29, 2019 23:49

    Maafisa usalama nchini Uganda wamewatia mbaroni majambazi kadhaa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Kampala na viunga vyake. Majambazi hao wanatuhumiwa kufanya vitendo mbalimbali vya uhalifu na uvunjaji sheria ikiwa ni pamoja na mauaji na kuwateka nyara watoto wadogo. Kigozi Ismail na maelezo zaidi kutoka Kampala...

  • Uganda yaanzisha kampeni mpya ya kupambana na magonjwa hatari + SAUTI

    Uganda yaanzisha kampeni mpya ya kupambana na magonjwa hatari + SAUTI

    Jan 19, 2019 14:48

    Serikali ya Uganda kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO) imeanzisha upya kampeni ya kupambana na magonjwa kadhaa hatari ambayo yamezuka tena nchini humo. Kigozi Ismail na maelezo zaidi...

  • Vijana wa NRM wazozana tena na Polisi nchini Uganda + Sauti

    Vijana wa NRM wazozana tena na Polisi nchini Uganda + Sauti

    Jan 14, 2019 23:11

    Kwa mara nyingine tena, vijana wa chama tawala cha NRM nchini Uganda wamezozana na polisi wa nchi hiyo wakipinga ubeberu wa mkoloni Muingereza. Maelezo zaidi yamo kwenye ripoti ya mwandishi wetu wa Kampala, Kigozi Ismail...

  • Msalaba Mwekundu: Mamia ya Wakongomani wamekimbilia Uganda

    Msalaba Mwekundu: Mamia ya Wakongomani wamekimbilia Uganda

    Jan 02, 2019 11:46

    Shirika la Msalaba Mwekundu limesema mamia ya raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamekimbilia nchini Uganda baada ya kufanyika uchaguzi mkuu wa Jumapili iliyopita.

  • Uganda yachukua tahadhari kuhusu Ebola kabla ya uchaguzi  DRC

    Uganda yachukua tahadhari kuhusu Ebola kabla ya uchaguzi DRC

    Dec 21, 2018 11:18

    Uganda imeongeza kiwango cha tahadhari kuhusu ugonjwa wa Ebola, ili kukabiliana na wimbi tarajiwa la wakimbizi iwapo vurugu zitaibuka katika nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika kipindi hiki cha uchaguzi mkuu.

  • Wanasiasa wa upinzani Uganda wakutana mjini Kampala + Sauti

    Wanasiasa wa upinzani Uganda wakutana mjini Kampala + Sauti

    Dec 12, 2018 13:22

    Wanasiasa wa vyama kadhaa nchini Uganda wamekutana katika mji mkuu wa nchi hiyo Kampala katika mjadala maalumu uliogusia masuala muhimu kadhaa ya kijamii na kisiasa kuhusu mustakbali wa nchi hiyo. Kigozi Ismail mwandishi wetu wa Kampala ametuandalia taarifa ifuatayo.

  • Uganda nayo yaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Haki za Binadamu + Sauti

    Uganda nayo yaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Haki za Binadamu + Sauti

    Dec 10, 2018 14:43

    Uganda imejiunga na nchi nyingine dunia katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Haki za binadamu. Sherehe hiyo imehutubiwa na Rais Yoweri Museveni wa Uganda ambaye ametangaza mkakati mpya wa kupambana na ufisadi ambao umeutaja kuwa ni sawa na maradhi ya saratani. Kigozi Ismail na ripoti kamili...

  • Shirika la mafuta na gesi la Uganda latambuliwa rasmi kimataifa + Sauti

    Shirika la mafuta na gesi la Uganda latambuliwa rasmi kimataifa + Sauti

    Dec 03, 2018 23:35

    Shirika la kwanza la mafuta na gesi la Kigumba, magharibi mwa la Uganda latambuliwa rasmi kimataifa. Mwandishi wetu Kigozi Ismail na maelezo zaidi

  • WHO: Kesi 36 mpya za Ebola ziripotiwa DRC

    WHO: Kesi 36 mpya za Ebola ziripotiwa DRC

    Nov 30, 2018 01:03

    Hatari wa kuenea ugonjwa habari wa Ebola imeongezeka huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na katika nchi zinazopakana nayo baada ya kesi nyingine 36 kugunduliwa karibu na mpaka wa nchi hiyo katika wiki iliyomalizikia kwenye Novemba 29.