Kampeni ya kusafisha majambazi yaendelea nchini Uganda + Sauti
Jan 29, 2019 23:49 UTC
Maafisa usalama nchini Uganda wamewatia mbaroni majambazi kadhaa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Kampala na viunga vyake. Majambazi hao wanatuhumiwa kufanya vitendo mbalimbali vya uhalifu na uvunjaji sheria ikiwa ni pamoja na mauaji na kuwateka nyara watoto wadogo. Kigozi Ismail na maelezo zaidi kutoka Kampala...
Tags