EAC inayoendelea na kikao mjini Arusha Tanzania, yalaumiwa + Sauti
Feb 02, 2019 04:43 UTC
Kikao cha siku mbili cha 20 cha kawaida cha wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC kinachofanyika mjini Arusha Tanzania, jana Ijumaa, Februari Mosi 2019 kilimteua Rais Paul Kagame wa Rwanda kuwa mwenyekiti wake mpya baada ya kumalizika uenyekiti wa kupokezana wa Rais Yoweri Museveni wa Uganda. Hata hivyo jumuiya ya Afrika Mashariki inalaumiwa kwa kutotekeleza kivitendo maazimio mengi inayofikia kwenye vikao vyake. Kigozi Ismail na maelezo zaidi kutoka Kampala...
Tags