Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uganda

  • Uganda yataka ushirikiano wa kiulinzi majini Afrika Mashariki + Sauti

    Uganda yataka ushirikiano wa kiulinzi majini Afrika Mashariki + Sauti

    Nov 26, 2018 14:37

    Umetolewa wito wa kuwepo ushirikiano baina walinzi wa majini katika nchi za Afrika Mashariki katika masuala ya ulinzi na usalama kufuatia ajali ya boti iliyotokea katika Ziwa Victoria siku ya Jumamosi iliyopita. Mwandishi wetu wa mjini Kampala Kigozi Ismail, ametuandalia ripoti ifuatayo.

  • Idadi ya waliofariki katika ajali ya boti Uganda yafika 35

    Idadi ya waliofariki katika ajali ya boti Uganda yafika 35

    Nov 26, 2018 04:33

    Naibu msemaji wa jeshi la Uganda Luteni kanali Deo Akiiki amesema idadi ya vifo vilivyotokana na ajali ya kupinduka kwa boti iliyotokea Jumamosi kwenye Ziwa Victoria nchini humo, imefikia 35.

  • SAUTI, Kampeni ya kupambana na magonjwa ya Sarati mbalimbali imeshika kasi nchini Uganda ambapo watu wanapimwa bure

    SAUTI, Kampeni ya kupambana na magonjwa ya Sarati mbalimbali imeshika kasi nchini Uganda ambapo watu wanapimwa bure

    Nov 24, 2018 12:03

    Juhudi za kupambana na ugonjwa wa saratani zimeshika kasi nchini Uganda kutokana na ongezeko la maradhi hayo ndani ya jamii.

  • UN yaipongeza Uganda na Chad kwa kuwasomesha watoto wakimbizi

    UN yaipongeza Uganda na Chad kwa kuwasomesha watoto wakimbizi

    Nov 21, 2018 04:20

    Umoja wa Mataifa umezipongeza serikali za Uganda na Chad kwa kuwasomesha watoto wakimbizi katika shule za taifa na kuwafanya wawe na utangamano.

  • Hali si shwari, Uganda yamimina wanajeshi wake katika mpaka na DRC + Sauti

    Hali si shwari, Uganda yamimina wanajeshi wake katika mpaka na DRC + Sauti

    Nov 20, 2018 03:18

    Kufuatia kuzuka mgogoro wa mpakani mwa Uganda na Jamhuri ya Kidemoksaria ya Kongo, serikali ya Uganda imetuma wanajeshi wake wa wengi wa UPDF katika mpaka wa nchi hizo mbili. Kigozi Ismail na maelezo zaidi kutoka Kampala.

  • SAUTI, Serikali ya Uganda yashauriwa kuzidisha juhudi za kivitendo katika kukuza lugha ya Kiswahili nchini

    SAUTI, Serikali ya Uganda yashauriwa kuzidisha juhudi za kivitendo katika kukuza lugha ya Kiswahili nchini

    Nov 09, 2018 13:40

    Serikali ya Uganda imeshauriwa kuongeza juhudi kwa ajili ya ufundishaji lugha ya Kiswahili kwa madaraja yote ya elimu nchini humo.

  • Uganda kuanza kutoa chanjo ya Ebola kwa wafanyakazi wa sekta ya afya

    Uganda kuanza kutoa chanjo ya Ebola kwa wafanyakazi wa sekta ya afya

    Nov 02, 2018 23:26

    Uganda imetangaza kuwa Jumatatu ijayo itaanza kutoa chanjo kwa baadhi ya wafanyakazi wake wa huduma ya afya dhidi ya maradhi ya Ebola. Hatua hiyo inachukuliwa kutokana na kuongezeka wasiwasi juu ya uwezekano wa kuenea hadi Uganda homa hiyo ya kuvuja damu inayosababishwa na virusi kutoka nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambayo inapambana na mlipuko wa Ebola.

  • Uganda yatuma askari Tanzania katika mazoezi ya kijeshi ya Afrika Mashariki

    Uganda yatuma askari Tanzania katika mazoezi ya kijeshi ya Afrika Mashariki

    Nov 02, 2018 02:34

    Uganda imetuma askari na raia 219 kushiriki kwenye mazoezi ya kijeshi ya pamoja ya Jumuiya ya Afrika Mashariki nchini Tanzania.

  • Uganda yaomba kushirikiana zaidi na Iran katika sekta ya kilimo

    Uganda yaomba kushirikiana zaidi na Iran katika sekta ya kilimo

    Oct 27, 2018 12:11

    Waziri wa Kilimo wa Uganda Vincent Ssempijja amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina uwezo mkubwa katika sekta ya kilimo, hivyo ametaka mashirika ya kilimo ya Iran yawekeze nchini humo na pande mbili kushirikiana zaidi katika miradi ya kilimo.

  • ICC yasikiliza kesi ya kamanda wa waasi wa Uganda wa LRA

    ICC yasikiliza kesi ya kamanda wa waasi wa Uganda wa LRA

    Oct 22, 2018 12:20

    Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imeanza kusikiliza kesi ya kamanda wa genge la kigaidi la Kikristo la LRA lililokuwa linapigania kusimamisha serikali itakayoongozwa kwa amri kumi za Biblia nchini Uganda.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS