Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uganda

  • IPU yapiga marufuku mijadala kuhusu ushoga na usagaji

    IPU yapiga marufuku mijadala kuhusu ushoga na usagaji

    Oct 18, 2018 11:59

    Kikao cha 139 cha Jumuiya ya Kimataifa ya Mabunge (IPU) kimepiga kura kuunga mkono hoja ya kutaka kupiga marufuku mijadala inayohusu masuala ya ushoga na usagaji.

  • Idadi ya watu waliopoteza maisha kwa kufukiwa na matope nchini Uganda yapindukia 40

    Idadi ya watu waliopoteza maisha kwa kufukiwa na matope nchini Uganda yapindukia 40

    Oct 13, 2018 04:43

    Taarifa kutoka nchini Uganda zimeeleza kwamba idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na maporomoko ya udongo imepindukia 40 huku juhudi za uokoaji zikiendelea.

  • Watu 31 waaga dunia katika maporomoka ya ardhi Uganda

    Watu 31 waaga dunia katika maporomoka ya ardhi Uganda

    Oct 12, 2018 04:03

    Makumi ya watu wameripotiwa kupoteza maisha katika maporomoko ya ardhi yaliyotokea jana adhuhuri katika vijiji vilivyoko kwenye kaunti ndogo ya Bakalasi, wilayani Bududa mashariki mwa Uganda.

  • SAUTI, Rais Museven, Waganda ishini pamoja kwa upendo kama watoto wa familia moja, ama wahalifu 40 zao zinahesabika

    SAUTI, Rais Museven, Waganda ishini pamoja kwa upendo kama watoto wa familia moja, ama wahalifu 40 zao zinahesabika

    Oct 09, 2018 13:24

    Rais Yoweri Museven wa Uganda amewataka raia wa nchi hiyo kupendana na kuishi sawa na watoto wa familia moja, badala ya kuchukiana.

  • Miaka 56 ya uhuru wa Uganda + Sauti

    Miaka 56 ya uhuru wa Uganda + Sauti

    Oct 09, 2018 02:12

    Uganda imeadhimisha mwaka wa 56 wa uhuru wake ikiwa imetekeleza miradi mingi ya maendeleo na kufeli katika sekta nyinginezo. Taarifa kamili anayo mwandishi wetu wa Kampala, Kigozi Ismael...

  • Uganda na Iran kuimarisha ushirikiano katika uga wa sayansi na teknolojia

    Uganda na Iran kuimarisha ushirikiano katika uga wa sayansi na teknolojia

    Oct 05, 2018 12:08

    Waziri wa Sayansi, Teknolojia na Ubunifu wa Uganda ametoa mwito wa kuimarishwa ushirikiano wa pande mbili kati ya nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika uga wa sayansi na teknolojia.

  • Iran na Uganda zasisitiza kuimarisha uhusiano wa pande mbili katika elimu na teknolojia

    Iran na Uganda zasisitiza kuimarisha uhusiano wa pande mbili katika elimu na teknolojia

    Oct 03, 2018 10:49

    Makamu wa Rais wa Jamhuuri ya Kiislamu ya Iran anayehusika na masuala ya elimu na teknolojia na Rais wa Uganda wamesisitiza katika mazungumzo yao leo mjini Kampala juu ya umuhimu wa kufunguliwa ukurasa mpya wa ushirikiano wa pamoja kati ya pande mbili katika uga wa elimu na teknolojia.

  • SAUTI, Serikali ya Uganda yagawa fedha kwa vijana wa mitaani ili kuwashawishi wasifuate mkumbo wa siasa

    SAUTI, Serikali ya Uganda yagawa fedha kwa vijana wa mitaani ili kuwashawishi wasifuate mkumbo wa siasa

    Sep 24, 2018 12:55

    Serikali ya Uganda chini ya Rais Museven imeanzisha kampeni kugawa fedha za mkopo wa riba nafuu kwa vijana sambamba na kuwataka wasishawishiwe na kimbunga kipya cha kisiasa nchini.

  • SAUTI, Waziri wa Usalama Uganda awaonya waandishi wa habari wanaochochea ghasia

    SAUTI, Waziri wa Usalama Uganda awaonya waandishi wa habari wanaochochea ghasia

    Sep 22, 2018 13:04

    Waziri wa Usalama nchini Uganda Jenerali Elly Tumwine, amewataka waandishi wa habari kutumia vyema taaluma yao ili wasiitumbukize nchi hiyo katika machafuko.

  • Bobi Wine awasili Uganda, askari wamuingiza gari la jeshi kwa nguvu na kumpeleka kwake

    Bobi Wine awasili Uganda, askari wamuingiza gari la jeshi kwa nguvu na kumpeleka kwake

    Sep 20, 2018 11:19

    Mbunge wa Kyadondo nchini Uganda, Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine amewasili leo nchini humo akitokea nchini Marekani alikokuwa akipatiwa matibabu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS