-
Rais Museveni kuhutubia taifa kuhusu masuala muhimu leo
Sep 08, 2018 21:51Rais wa Uganda Yoweri Museveni anatarajiwa kulihotubia taifa siku ya leo Jumapili kwa lengo la kutoa maelezo kuhusu masuala mbalimbali yanayolikabili taifa hilo la Afrika Mashariki.
-
Mbunge Bobi Wine ashindwa kufika mahakamani kwa sababu za kiafya
Aug 30, 2018 11:58Mbunge Robert Kyagulanyi wa Kyadondo Mashariki nchini Uganda maarufu kama Bobi Wine, ameshindwa kuhudhuria mahakama hii leo kusikiliza kesi inayomkabili ya uhaini iliyowasilishwa na serikali ya nchi hiyo.
-
Askari waliowapiga na kuwatesa Wabunge wa upinzani Uganda watiwa mbaroni
Aug 29, 2018 03:13Askari wa Uganda wanaotuhumiwa kuwapiga na kuwatesa Wabunge wa upinzani akiwemo Mbunge Bobi Wine aliyejizolea umashuhuri wametiwa mbaroni.
-
Mkuu wa zamani wa polisi nchini Uganda apandishwa kizimbani
Aug 24, 2018 09:36Mkuu wa zamani wa polisi nchini Uganda Jenerali Kale Kayihura amefikishwa katika mahakama ya jeshi ya Makindye mjini Kampala baada ya kufunguliwa mashitaka ya kutowajibika katika kazi yake.
-
Polisi Uganda yawatia nguvuni wabunge watatu baada ya msafara wa rais Museveni kushambuliwa kwa mawe
Aug 14, 2018 10:34Polisi nchini Uganda imewakamata wabunge watatu na watu wengine kadhaa baada ya msafara wa magari wa rais wa nchi hiyo Yoweri Kaguta Museveni kushambuliwa kwa mawe.
-
Waasi wa ADF-NALU wa Uganda wafanya mashambulio DRC na kuua watu 6
Aug 12, 2018 08:29Waasi wa ADF-Nalu wa Uganda wamefanya mashambulio katika jimbo la Kivu Kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kuua watu sita.
-
SAUTI, Wizara ya Afya Uganda: Bado tuna magonjwa matatu makubwa ambayo yanatunyima usingizi
Aug 10, 2018 12:02Maradhi matatu makubwa, yametajwa kuwa ni changamoto ambayo hadi sasa inaendelea kulisumbua taifa la Uganda.
-
SAUTI, Mamlaka ya mapato nchini Uganda, imeamua kutumia mashine za kisasa katika kunasa bidhaa haramu
Aug 06, 2018 12:10Mamlaka ya kukusanya mapato nchini Uganda URA, imetangaza kwamba imefanikiwa kunasa kiasi kikubwa cha bidhaa haramu ambazo zilikuwa zikiingizwa nchini bila kulipiwa ushuru.
-
SAUTI, Ziara ya Narendra Modi nchini Uganda, kupanua kiwango uhusiano wa kiuchumi na kisiasa kati ya nchi mbili
Jul 24, 2018 03:46Ziara ya Waziri Mkuu wa India nchini Uganda imetajwa kuwa itakayoboresha mahusiano ya nchi mbili, kutokana na kuwepo matumaini kuonyesha irada ya suala hilo.
-
Uganda yaongeza majeshi katika mpaka na DRC Ziwa Edward
Jul 16, 2018 22:25Jeshi la Uganda limetangaza kuongeza idadi ya askari wake wanaolinda doria katika mpaka wa pamoja na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika Ziwa Edward baada ya kujiri machafuko.