-
Rais Rouhani amtumia ujumbe mwenzake wa Uganda, Yoweri Museveni
Jul 12, 2018 10:31Mjumbe maalumu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemkabidhi Rais Yoweri Museveni wa Uganda ujumbe wa maandishi kutoka kwa mwenzake wa Iran.
-
Polisi yatumia mabomu kuzima maandamano Uganda
Jul 11, 2018 09:07Maafisa wa polisi nchini Uganda wametumia mabomu ya kutoa machozi kuzima maandamano ya wananchi waliomiminika katika barabara za mji mkuu Kampala, kulalamikia kodi mpya wanazotozwa watumiaji wa mitandao ya kijamii.
-
Mapigano kati ya jeshi la Uganda na Kongo DR yashtadi Ziwa Edward, wavuvi 12 wauawa
Jul 09, 2018 22:40Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imesema wavuvi wasiopungua 12 raia wa nchi hiyo wameuawa katika mapigano makali yanaoendelea kushuhudiwa kwa siku kadhaa sasa kati ya vikosi vya majini vya nchi hiyo na Uganda, katika maji ya Ziwa Edward.
-
SAUTI, Sakata la kodi mpya kwa mitandao ya kijamii Uganda lazidi kutokota, Waganda waitisha maandamano nchi nzima kuipinga
Jul 07, 2018 12:34Sakata la kuwekwa kodi kwa mitandao ya kijamii nchini limezidi kutokota ambapo mara hii kundi la wanaharakati kwa kushirikiana na viongozi wa upinzani wameitisha maandamano ya nchi nzima kupinga kodi hiyo.
-
7 wauawa katika makabiliano kati ya jeshi la Uganda na Kongo DR
Jul 06, 2018 08:53Askari wanne na raia watatu wa Uganda wameripotiwa kuuawa katika mapigano makali baina ya vikosi vya majini vya Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika maji ya Ziwa Albert.
-
Wakimbizi wa Sudan Kusini walioko Uganda wajiandaa kurejea nyumbani (RIPOTI)
Jun 26, 2018 12:11Wakimbizi wa Sudan Kusini walioko nchini Uganda wameanza kujitayarisha kurejea nchini kwao, baada ya pande hasimu za kisiasa katika nchi hiyo changa zaidi barani Afrika kusaini makubaliano ya amani mjini Khartoum, Sudan.
-
Polisi Uganda yawatia nguvuni washukiwa 15 wa mauaji wakati wa mechi ya Kombe la Dunia
Jun 22, 2018 03:35Polisi ya Uganda imetangaza kuwa imewatia nguvuni watu 15 wanaushukiwa kuhusika na machafuko yaliyotokea katika kambi ya wakimbizi kutoka Sudan Kusini wakati wa kutazama mechi ya Kombo la Dunia la mpira wa miguu.
-
SAUTI, Aliyekuwa mkuu wa jeshi la Polisi nchini Uganda, Kale Kayihura atiwa mbaroni, kushtakiwa kijeshi
Jun 13, 2018 12:45Jenerali wa zamani wa jeshi la polisi nchini Uganda, Kale Kayihura, ametiwa mbaroni Jumatano hii akihusishwa na tuhuma mbalimbali alizozitenda wakati akitumikia nafasi hiyo.
-
Mgogoro wa kidiplomasia kati ya Kenya na Uganda wanukia tena
Jun 13, 2018 03:25Mgogoro mwingine wa kidiplomasia kati ya Kenya na Uganda unanukia. Hii ni baada ya makumi ya wahamiaji haramu raia wa Uganda kukamatwa na maafisa wa polisi wa Kenya katika mpaka wa nchi mbili hizo.
-
Uganda yasisitiza kulindwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Jun 01, 2018 03:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda amesema kulindwa makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA ni jambo lenye udharura mkubwa.