Wakimbizi wa Sudan Kusini walioko Uganda wajiandaa kurejea nyumbani (RIPOTI)
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i46362-wakimbizi_wa_sudan_kusini_walioko_uganda_wajiandaa_kurejea_nyumbani_(ripoti)
Wakimbizi wa Sudan Kusini walioko nchini Uganda wameanza kujitayarisha kurejea nchini kwao, baada ya pande hasimu za kisiasa katika nchi hiyo changa zaidi barani Afrika kusaini makubaliano ya amani mjini Khartoum, Sudan.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Jun 26, 2018 12:11 UTC

Wakimbizi wa Sudan Kusini walioko nchini Uganda wameanza kujitayarisha kurejea nchini kwao, baada ya pande hasimu za kisiasa katika nchi hiyo changa zaidi barani Afrika kusaini makubaliano ya amani mjini Khartoum, Sudan.

Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini na aliyekuwa makamu wake Riek Machar wameafikiana kusitisha mapigano huku wakikubaliana katika nukta nyingine kadhaa za kupatikana amani ya kudumu nchini humo.

Kigozi Ismail ana maelezo zaidi kutoka Kampala…..