Bunge nchini Uganda lapasisha bajeti ya kununua ndege ya taifa + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i52496-bunge_nchini_uganda_lapasisha_bajeti_ya_kununua_ndege_ya_taifa_sauti
Bunge nchini Uganda limepasisha bajeti ya nyongeza ya shilingi bilioni 280 za nchi hiyo kwa ajili ya kununua ndege za taifa ili kulifufua shirika la ndege la nchi hiyo. Kwa maelezo zaidi tunajiunga na mwandishi wetu wa Kampala, Kigozi Ismail.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Mar 29, 2019 21:35 UTC