Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uganda

  • Uganda yakumbwa tena na homa ya Marburg

    Uganda yakumbwa tena na homa ya Marburg

    Oct 20, 2017 13:18

    Uganda imethibitisha kufariki dunia mtu mmoja kwa homa inayoenezwa na kirusi cha Marburg, homa ambayo huambatana na kuvuja damu sawa kabisa na homa ya Ebola. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya wa nchi hiyo.

  • Ghasia zashtadi Uganda, Besigye na Wabunge wa upinzani wakamatwa

    Ghasia zashtadi Uganda, Besigye na Wabunge wa upinzani wakamatwa

    Oct 20, 2017 04:00

    Mtu mmoja ameuawa huku wengine sita wakiachwa na majeraha ya risasi na kulazwa hospitalini katika wilaya ya Rukungiri, kufuatia ghasia zilizotokana na maandamano ya kupinga mpango wa kuondoa kikomo cha umri wa kugombea urais nchini Uganda.

  • Uganda yapiga marufuku maandamano ya kupinga kuondolewa kipengee cha umri katika kugombea urais

    Uganda yapiga marufuku maandamano ya kupinga kuondolewa kipengee cha umri katika kugombea urais

    Oct 18, 2017 11:50

    Jeshi la polisi nchini Uganda leo (Jumatano) limepiga marufuku kile lilichokiita ni maandamano haramu ya kupinga mpango wa kuondoa kipengee ya umri katika kugombea urais. Juhudi za kuondoa kipengee hicho zina nia ya kumfungulia njia Rais Yoweri Museveni kuendelea kubakia madarakani bila ya kufungwa na kipengee hicho.

  • Kugeuka bunge la Uganda uwanja wa kurushiana makonde

    Kugeuka bunge la Uganda uwanja wa kurushiana makonde

    Sep 28, 2017 23:04

    Mpango wa kuondolewa ukomo wa umri wa rais kwa ajili ya kumuwezesha Rais Yoweri Museven wa Uganda kugombea tena katika uchaguzi wa rais ujao, umepelekea bunge la nchi hiyo kukumbwa na hali ya mchafukoge.

  • Wabunge wa Uganda watwangana tena, matangazo mubashara yafutwa

    Wabunge wa Uganda watwangana tena, matangazo mubashara yafutwa

    Sep 27, 2017 10:51

    Kwa siku ya pili mfululizo, Wabunge wa Uganda wamerushiana makonde Bungeni wakati wa kujadiliwa muswada wa sheria inayotaka kuondoa kikomo cha umri wa kugombea urais nchini humo.

  • Wabunge watwangana makonde Uganda kabla ya kujadili mswada wa kurefusha utawala wa Museveni

    Wabunge watwangana makonde Uganda kabla ya kujadili mswada wa kurefusha utawala wa Museveni

    Sep 26, 2017 12:35

    Vurumai za kupigana makonde na kurushiana viti baina ya wabunge zimezuka ndani ya bunge nchini Uganda leo kabla ya bunge hilo kujadili mswada ambao endapo utapitishwa utamwezesha Rais Yoweri Museveni kuwania tena urais kwa kipindi kingine.

  • Mabomu ya kutoa machozi yarindima Uganda huku bunge likijadili mpango wa kurefusha utawala wa Museveni

    Mabomu ya kutoa machozi yarindima Uganda huku bunge likijadili mpango wa kurefusha utawala wa Museveni

    Sep 21, 2017 11:14

    Polisi wa Uganda wametumia mabomu ya kutoa machozi kuwatawanya watu waliokusanyika kwa lengo la kuandamana kuelekea bungeni kupinga rasimu ya mswada unaolenga kurefusha muda wa kutawala Rais wa nchi hiyo Yoweri Kaguta Museveni. Rasimu hiyo ilitazamiwa kuwasilishwa mbele ya bunge baadaye leo.

  • Wabunge wa upinzani Uganda wadai kutishiwa maisha

    Wabunge wa upinzani Uganda wadai kutishiwa maisha

    Sep 20, 2017 23:18

    Wabunge wa vyama vya upinzani nchini Uganda wamesema serikali inawatishia maisha masaa machache kabla ya bunge la nchi hiyo kujadili muswada wa kuondoa kikomo cha umri wa kugombea urais nchini humo.

  • Museveni: Kikomo cha umri wa kuwania urais Uganda kitaamuliwa na Bunge

    Museveni: Kikomo cha umri wa kuwania urais Uganda kitaamuliwa na Bunge

    Sep 14, 2017 10:14

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda amejitosa kwenye mjadala kuhusu kikomo cha umri wa kugombea urais nchini humo na kusisitiza kuwa, kauli ya mwisho kuhusu kadhia hiyo itatolewa na Bunge la nchi hiyo.

  • Mwito wa kutumiwa Kiswahili kuimarisha utangamano Afrika Mashariki

    Mwito wa kutumiwa Kiswahili kuimarisha utangamano Afrika Mashariki

    Sep 09, 2017 03:19

    Naibu Waziri Mkuu wa Uganda ametoa wito wa kutumiwa lugha ya Kiswahili kuimarisha utangamano katika kanda ya Afrika Mashariki.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS