-
Uhispania yaendelea kuiuzia silaha Saudi Arabia, zinatumika kuua raia wa Yemen
Dec 28, 2017 12:03Ripoti za Wizara ya Biashara ya Uhispania inaonesha kuwa, katika kipindi cha miezi sita ya mwanzoni mwaka huu wa 2017 serikali ya nchi hiyo imeidhinisha mauzo ya silaha na mizinga yenye thamani ya zaidi ya Euro milioni 141 kwa utawala wa Saudi Arabia.
-
Mahakama Kuu Uhispania: Ole wake Carles Puigdemont asipohudhuria kotini
Nov 03, 2017 04:20Mahakama Kuu ya Uhispania imemuonya rais wa eneo la Catalonia, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo aliyeuzuliwa madarakani kwa kutohudhuria mahakamani.
-
Mahakama ya Uhispania yatengua 'uhuru' wa Catalonia
Oct 31, 2017 13:38Mahakama ya Katiba nchini Uhispania imebatilisha azimio lililopasishwa na bunge la eneo la Catalonia la kutangaza uhuru wa eneo hilo Ijumaa iliyopita.
-
Catalonia yajitangazia rasmi uhuru wake, Uhispania yaivua mamlaka ya kujiendeshea mambo yake
Oct 28, 2017 02:37Bunge la eneo la Catalonia nchini Uhispania limeupigia kura ya 'ndiyo' mpango wa kujitangazia uhuru rasmi na kujitenga na Uhispania huku Baraza la Seneti la serikali kuu ya Madrid likipitisha uamuzi unaoruhusu kulinyang'anya eneo hilo mamlaka liliyokuwa nayo ya kujiendeshea mambo yake.
-
Catalonia: Ikiwa rais wetu atauzuliwa na serikali ya Uhispania, tutafanya uasi wa kiraia
Oct 24, 2017 04:44Mrengo unaotaka kujitenga eneo la Catalonia nchini Uhispania, umetangaza kuwa ikiwa serikali kuu ya nchi hiyo itamuuzulu kiongozi wao, basi utaanzisha uasi wa kiraia.
-
Mahakama ya Katiba ya Uhispania yapinga kura ya maoni ya kujitenga Catalonia
Oct 18, 2017 02:49Mahakama ya Katiba ya Uhispania imetangaza kuwa kura ya maoni ya kujitenga eneo la Catalonia haikuwa halali.
-
Mahakama ya Katiba Uhispania yafuta kikao cha Bunge la Catalonia
Oct 06, 2017 04:08Mahakama ya Katiba ya Uhispania imefuta kikao kilichokuwa kimepangwa kufanywa na Bunge la eneo la Catalonia kwa ajili ya kutangaza rasmi kujitenga eneo hilo.
-
Mshukiwa mkuu wa mashambulizi ya kigaidi Barcelona auawa
Aug 22, 2017 03:22Polisi ya Uhispania imemuua Younes Abouyaaqoub aliyetekeza shambulio la kigaidi la Alkhamisi wiki iliyopita katika mji wa Barcelona.
-
Vituo viwili vya Kiislamu vyashambuliwa na kundi lenye chuki za kidini Uhispania
Aug 21, 2017 08:16Vituo viwili vya Kiislamu vimeshambuliwa na kundi la watu wenye chuki dhidi ya dini ya Kiislamu nchini Uhispania.
-
Matukio ya kigaidi ya Uhispania, kisingizio cha kuzidishwa hatua za kiusalama kukabiliana na wahajiri
Aug 21, 2017 02:20Ripoti mpya ya Shirika la Wahajiri Duniani (IOM) imesema kwamba, idadi ya wahajiri wanaoingia nchini Uhispania imeongezeka.