-
Mahakama ya Katiba Uhispania yafuta kikao cha Bunge la Catalonia
Oct 06, 2017 00:38Mahakama ya Katiba ya Uhispania imefuta kikao kilichokuwa kimepangwa kufanywa na Bunge la eneo la Catalonia kwa ajili ya kutangaza rasmi kujitenga eneo hilo.
-
Mshukiwa mkuu wa mashambulizi ya kigaidi Barcelona auawa
Aug 21, 2017 22:52Polisi ya Uhispania imemuua Younes Abouyaaqoub aliyetekeza shambulio la kigaidi la Alkhamisi wiki iliyopita katika mji wa Barcelona.
-
Vituo viwili vya Kiislamu vyashambuliwa na kundi lenye chuki za kidini Uhispania
Aug 21, 2017 03:46Vituo viwili vya Kiislamu vimeshambuliwa na kundi la watu wenye chuki dhidi ya dini ya Kiislamu nchini Uhispania.
-
Matukio ya kigaidi ya Uhispania, kisingizio cha kuzidishwa hatua za kiusalama kukabiliana na wahajiri
Aug 20, 2017 21:50Ripoti mpya ya Shirika la Wahajiri Duniani (IOM) imesema kwamba, idadi ya wahajiri wanaoingia nchini Uhispania imeongezeka.
-
Mamia ya Waislamu waandamana dhidi ya ugaidi nchini Uhispania
Aug 20, 2017 02:29Mamia ya Waislamu katika mji wa Barcelona kaskazini mashariki mwa Uhispania wamefanya maandamano kulaani na kupinga mashambulizi mawili ya kigaidi yaliyotokea nchini humo siku chache zilizopita.
-
Mashambulizi ya kigaidi ya Uhispania
Aug 18, 2017 08:41Shambulizi la kigaidi lililotokea jana katika mji wa Barcelona nchini Uhispania limezusha wahka na wasiwasi mkubwa katika mji huo na miji mingine ya nchi hiyo.
-
Jumatano, Aprili 12, 2017
Apr 11, 2017 23:21Leo ni Jumatano tarehe 14 Rajab 1438 Hijria sawa na 12 Aprili 2017 Milaadia.
-
Maandamano makubwa ya kuwaunga mkono wahajiri yafanyika Uhispania
Feb 19, 2017 04:10Katika hali ambayo Rais Donald Trump wa Marekani anatazamiwa wiki ijayo kutangaza 'sheria kali zaidi' za kudhibiti wahajiri na raia wa nchi saba za Kiislamu, mamia ya maelfu ya wananchi wamefanya maandamano Uhispania kuonyesha uungaji mkono wao kwa wajahiri.
-
Meli za mafuta za Iran zarejea barani Ulaya
Jan 18, 2017 13:26Meneja wa Shirika la Taifa la Meli za Mafuta la Iran amesema kuwa, meli za mafuta za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zimerejea kwenye bandari za barani Ulaya.
-
Amnesty yaitaka Uhispania iache kuiuzia Saudia meli za kivita
Nov 12, 2016 04:19Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeitaka Uhispania iache kuiuzia Saudi Arabia manowari za kijeshi na kusisitiza kuwa, nchi hiyo ya Ulaya inapaswa kusitisha mauzo hayo kwa kuwa yumkini meli hizo za kivita zikatumika dhidi ya raia wasio na hatia wa Yemen.