-
Rais wa Tanzania akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran
Aug 27, 2022 03:59Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Hossein Amir-Abdollahian mjini Dodoma.
-
Zanzibar: Tuna hamu ya kupanua uhusiano wetu na Iran
Aug 26, 2022 07:29Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Zanzibar amesema anatumai kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zitaimarisha na kupanua uhusiano wao wa pande mbili.
-
Iran na Afrika Kusini zitilia mkazo wajibu wa kustawishwa uhusiano baina yao
May 24, 2022 01:18Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika masuala ya kisiasa ametilia mkazo wajibu wa kuimarishwa ushirikiano baina ya nchi yake na Afrika Kusini na kusisitiza kuwa, kutiwa nguvu ushirikiano baina ya Tehran na Pretoria ni jambo la dharura sana kwa ajili ya kupambana na fikra potofu ya kila nchi kujikumbizia mambo yote upande wake.
-
Mivutano inayoongezeka katika uhusiano kati ya Russia na utawala wa Kizayuni wa Israel
May 04, 2022 02:33Uhusiano kati ya Russia na utawala wa Kizayuni wa Israel umeingia katika kipindi kipya na cha wasiwasi na mivutano baada ya kuanza mashambulizi ya Russia dhidi ya Ukraine kutokana na misimamo ya Tel Aviv ya kuwa pamoja na nchi za Magharibi na kuchukua misimamo dhidi ya Russia.
-
Safari ya Waziri wa Ulinzi wa China mjini Tehran; ukurasa mpya katika uhusiano wa kiulinzi na kijeshi wa pande mbili
Apr 28, 2022 07:11Jenerali Wei Fenghe, Waziri wa Ulinzi wa China aliwasili mjini Tehran siku ya Jumatano kwa ajili ya kuonana na kufanya mazungumzo na Brigedia Jenerali Mohammad Reza Gharaei Ashtiani, Waziri mwenzake wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Safari ya Kamanda wa Jeshi la Anga la Iran nchini Pakistan na diplomasia ya Tehran ya ulinzi amilifu
Feb 28, 2022 11:09Jumapili ya jana tarehe 27 Februari, Brigedia Jenerali Hamid Vahedi, Kamanda wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliwasili katika mji mkuu wa Pakistan Islamabad kwa minajili ya kukutana na kufanya mazungumzo na maafisa wa kijeshi na kisiasa wa nchi hiyo.
-
Wanamichezo wa Jordan wasusia mashindano yaliyowashirikisha Wazayuni
Feb 20, 2022 07:49Makundi yanayoliunga mkono taifa la Palestina huko Jordan yamepongeza hatua ya wanamichezo wa nchi hiyo na nyingine za Kiarabu ya kukataa kushiriki mashindano ya magari ya Baja Rally ya Jordan kutokana na waanndaaji wa mashindano hayo kuwashirikisha pia Waisraeli.
-
Balozi za Iran na Saudia kufunguliwa tena karibuni
Jan 15, 2022 12:12Mwanachama wa Kamati ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu na Saudia upo katika mkondo wa kuhuishwa.
-
Mazungumzo ya Biden na Macron, juhudi za Washington za kuimarisha uhusiano na Paris
Oct 31, 2021 10:35Ijumaa Rais Joe Biden wa Marekani alikutana na kuzungumza na mwenzake wa Ufaransa Rais Emmanuel Macron kuhusu mkataba wa mauzo ya nyambizi kati ya Washington na Canberra, ambao umeikasirisha sana Paris.
-
Kushindwa Marekani kuzuia kuanzishwa tena uhusiano wa nchi za Kiarabu na Syria
Oct 16, 2021 07:23Akizungumza Jumatano mbele ya waandishi habari mjini Washington, Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amesema nchi hiyo haina nia ya kuunga mkono juhudi za kuboreshwa uhusiano na serikali ya Syria.