-
Kushadidi mivutano baina ya Marekani na Ufaransa, Paris yamwita nyumbani balozi wake mjini Washington
Sep 19, 2021 02:22Ufaransa imechukua uamuzi wa kumwita nyumbani balozi wake mjini Washington sambamba na kushadidi mivutano katika uhusiano wa serikali ya Paris na Marekani. Vilevile imechukua hatua ya kumrejesha nyumbani balozi wake nchini Australia kama hatua ya kuonesha malalamiko yake.
-
Kenya yairuhusu tena Somalia itumie anga yake
Jun 11, 2021 12:39Kenya imetoa idhini tena anga yake itumike kwa aili ya safari za ndege kwenda na kutoka Somalia huku kukiwa na matumaini kwamba, uhusiano wa nchi hizo mbili utarejea katika hali ya kawaida.
-
Somalia yahuisha uhusiano wake na Kenya baada ya kupita karibu nusu mwaka
May 07, 2021 07:45Somalia imetangaza habari ya kurejesha uhusiano wake na Kenya baada ya kuukata karibu miezi sita iliyopita, ikiituhumu serikali ya Nairobi kuwa inaingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Kuimarishwa uhusiano wa Venezuela na Russia, jibu muafaka kwa uadui wa Marekani
Apr 03, 2021 02:34Russia na Venezuela zimechukua hatua nyingine ya kuimarisha uhusiano wao kwa kuanzisha kamisheni ya viongozi wa nchi mbili na vile vile kuanzisha kamisheni tano za pamoja za kiufundi.
-
Wapakistani waandamana kupinga kuanzishwa uhusiano na Israel
Jan 23, 2021 12:31Makumi ya maelfu ya wananchi wa Pakistan wamefanya maandamano ya kupinga uwezekano wowote wa kuanzishwa uhusiano kati ya nchi hiyo na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Indonesia yakadhibisha madai ya kutaka kuanzisha uhusiano na Israel
Dec 17, 2020 04:42Indonesia imekanusha madai ya kipropaganda ya vyombo vya habari vya Wazayuni kwamba inataka kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia na utawala haramu wa Israel.
-
Kuanzishwa uhusiano baina ya Sudan na utawala haramu wa Israel na mustakbali wa nchi hiyo
Oct 25, 2020 02:37Hatimaye Sudan imesalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani na kukubali kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel. Sambambana na kutangaza habari hiyo, Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa, amewasilisha uamuzi wake wa kuliondoa jina la Sudan katika orodha ya nchi zinazounga mkono ugaidi kwenye Kongresi ya nchi hiyo.
-
Malalamiko ya Sudan kuhusu mashinikizo ya Marekani ya kuwa na uhusiano na Israel
Sep 06, 2020 11:42Serikali ya Trump muda wote imekuwa ikijionesha ni mtumishi asiye na doa wa malengo ya utawala wa Israel na imekuwa ikichukua hatua mbalimbali kama kuzilazimisha nchi za Kiarabu na za Waislamu kutangaza uhusiano wa kawaida na utawala huo wa Kizayuni. Hata hivyo baadhi ya nchi kama Sudan zimeamua kupinga na pia kukabiliana na njama hizo.
-
Safari ya Mike Pompeo kusini mwa Ghuba ya Uajemi na kukaririwa madai yasiyo na msingi wowote
Aug 28, 2020 06:29Marekani daima ikiwa na lengo la kuendeleza uwepo wake wa kijiopolitiki katika eneo la Ghuba ya Uajemi imekuwa ikitumia vizingizio visivyokuwa na maana hususan kupiga kwake ngoma ya kueneza chuki chidi ya Iran.
-
Jenerali Amir Hatami: Ushirikiano wa kijeshi wa Iran na Russia ni chanya
Aug 23, 2020 07:52Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema ushirikiano wa kiulinzi na kijeshi baina ya Jamhuri ya Kiislamu na Russia ni chanya na unaoendelea kuimarika.