-
Iran: Uingereza ichukue hatua za kivitendo kutulipa mamia ya mamilioni ya fedha zetu
Sep 11, 2020 00:14Wizara ya Ulinzi ya Iran imeashiria jinsi Uingereza ilivyokiri kuwa ina deni la miaka 40 la Iran na kuitaka London ichukue hatua za kivitendo za kuilipa Tehran fedha zake hizo ambazo ni mamia ya mamilioni.
-
Mgogoro wa corona wawakosesha ajira maelfu ya watu nchini Uingereza
Jun 17, 2020 01:57Taathira mbaya za kirusi cha corona katika sekta mbalimbali nchini Uingereza zimesababisha ukosefu mkubwa usiotarajiwa wa kazi nchini humo.
-
Mwafrika aokoa maisha ya mzungu mwenye chuki kali za kibaguzi nchini Uingereza + Video
Jun 15, 2020 03:11Kitendo cha uungwa na kiwango cha juu cha ubinadamu kilichooneshwa na raia mmoja wa Uingereza mwenye asili ya Afrika cha kuokoa maisha ya mzungu mwenye chuki kali za kibaguzi wakati wa ugomvi huko mjini London Uingereza, kimevigusa sana vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.
-
Bunge la Juu ya Uingereza lataka kuondolewa vikwazo Iran
Apr 15, 2020 03:39Mwenyekiti wa Kamati ya Uhusiano wa Kimataifa na Ulinzi ya Bunge la Juu la Uingereza (House of Lords) amesema anaunga mkono miito inayotolewa na maafisa wa nchi za Ulaya na Marekani za kutaka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iondolewa vikwazo, katika kipindi hiki ambapo Iran inaendelea kukabiliana na maambukizi makubwa ya virusi vya Corona.
-
Waziri Mkuu wa Uingereza akumbwa na corona, mtu mmoja anafariki dunia kila dakika 13 nchini humo
Mar 27, 2020 09:08Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson amekumbwa na ugonjwa hatari wa COVID-19 unaoenea kwa kasi kubwa kote ulimwenguni.
-
Waislamu Uingereza wawasaidia wenye mahitaji wakati huu wa mripuko wa Corona
Mar 19, 2020 03:58Waislamu nchini Uingereza, mijini na vijijini wanafanya jitihada za kukusanya bidhaa muhimu za msingi kwa ajili ya kuwasaidia watu wenye mahitaji na wasiojiweza nchini humo, katika kipindi hiki cha mripuko wa Corona.
-
Zarif aitaka EU ipuuze vikwazo haramu vya Marekani dhidi ya Iran
Mar 17, 2020 04:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameutaka Umoja wa Ulaya uache kuifuata kibubusa Marekani katika kuliwekea taifa hili vikwazo vya upande mmoja, haramu na visivyo vya kisheria.
-
Abbas Mousavi: Serikali ya Uingereza haina haki ya kuipangia mambo Iran
Mar 11, 2020 23:13Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Uingereza haiko katika nafasi ya kutaka kuipangia mambo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Ansarullah: Marekani na Uingereza zinaongoza vita vya muungano wa Saudia nchini Yemen
Mar 06, 2020 07:34Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Mapinduzi ya Watu wa Yemen amesema kuwa washauri wa kijeshi wa Marekani na Uingereza wanaongoza mashambulizi yanayofanywa na Saudi Arabia na washirika wake dhidi ya taifa la Yemen.
-
Mahakama ya Rufaa ya Uingereza 'yaharamisha' ndoa za Kiislamu
Feb 16, 2020 04:43Mahakama ya Rufaa ya Uingereza imebatilisha uamuzi wa miaka miwili iliyopita wa kutambua ndoa iliyofanyika kwa mujibu wa sheria za Kiislamu (Nikah).