-
Ramadhani, Mwezi wa Dhifa ya Mwenyezi Mungu-4
Mar 12, 2025 09:28Mwezi wa Ramadhani ambao imeteremshwa humo Qur´ani, kuwa mwongozo kwa watu, na hoja zilizowazi za uongofu na upambanuzi. Basi atayekuwa katika mji (wake) katika mwezi huu aufunge....
-
Ramadhani, Mwezi wa Dhifa ya Mwenyezi Mungu-2
Mar 11, 2025 10:17Mwezi wa Ramadhani ambao imeteremshwa humo Qur´ani, kuwa mwongozo kwa watu, na hoja zilizo wazi za uwongofu na upambanuzi. Basi atayekuwa katika mji (wake) katika mwezi huu aufunge. Na mwenye kuwa mgonjwa au safarini, basi atimize hisabu katika siku nyengine. Mwenyezi Mungu anakutakieni yaliyo mepesi wala hakutakieni yaliyo mazito, na mtimize hiyo hisabu, na mumtukuze Mwenyezi Mungu kwa kuwa amewangoza ili mpate kushukuru. (Baqarah:185)
-
Ramadhani; Mwezi wa Dhifa ya Mwenyezi Mungu (1)
Mar 10, 2025 07:10Assalaam alaykum wapenzi wasikilizaji. Tumo katika siku tukufu za ibada ya funga ya mwezi wa Ramadhani na sote tumealikwa kuwa wageni wa Mwenyezi Mungu Mtukufu.
-
Umewahi Kusoma Hotuba ya Sha'baniyyah ya Mtume Muhammad (saw)?
Feb 27, 2025 13:22Kwa mujibu wa kitabu cha “Kanzul-Maram fi A'mal Shahr al-Siyam”, Sheikh al-Saduq anamnukuu Imam Ridha (AS) akisema kwamba, katika moja ya siku za mwisho za mwezi wa Shaaban, kabla ya kuingia Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Mtume Muhammad (SAW) alitoa hotuba inayojulikana kama al Khutbatu Al-Sha'baniyyah.
-
Uislamu Chaguo Langu (94)
Mar 01, 2016 11:58Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika kipindi hiki ambacho huangazia watu ambao waliamua kufuata njia iliyojaa nuru katika maisha ya dunia na kesho akhera yaani Uislamu baada ya kufanya utafiti wa kina.
-
Uislamu Chaguo Langu (98)
Mar 01, 2016 11:53Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huwaangazia watu ambao baada ya kufanya utafiti wa kina huamua kufuata njia iliyojaa nuru maishani yaani Uislamu. Katika makala ya leo tutamuangazia Mmarekani aliyesilimu Thomas Clayton. Karibuni.
-
Uislamu Chaguo Langu (97)
Mar 01, 2016 11:49Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika kipindi hiki ambacho huwaangazia watu ambao baada ya kufanya utafiti wa kina huamua kufuata njia iliyojaa nuru maishani yaani Uislamu. Katika makala yetu ya leo tutamuangazia mwanamke Mmarekani aliyesilimu. Karibu kujiunga nami hadi mwisho.
-
Uislamu Chaguo Langu (96)
Mar 01, 2016 11:46Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huwaangazia watu ambao baada ya kufanya utafiti wa kina huamua kufuata njia ya haki maishani yaani Uislamu. Katika makala yetu ya leo tutamuangazia Mtaliano aliyesilimu Sara Teras.
-
Uislamu Chaguo Langu (95)
Mar 01, 2016 11:42Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii inayowaangazia watu ambao baada ya utafiti wa kina na wa wazi huamua kufuata njia ya haki na iliyojaa nuru katika maisha ya dunia na akhera yaani Uislamu. Ni matumaini yangu kuwa utaendelea kuwa nami hadi mwisho ambapo leo tutamuangazia Mmarekani aliyesilimu Bi Susan Aubrey.