- 
          Upinzani dhidi ya uungaji mkono wa Marekani kwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi huko Palestina, waongezekaNov 24, 2019 03:14Misaada na uungaji mkono wa pande zote wa maafisa wa White House kwa siasa za utawala haramu wa Israel hususan hatua ya serikali ya Washington ya kuhalalisha ujenzi wa vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina inaendelea kuamsha hasira za walimwengu. 
- 
          Tunisia yatahadharisha kuhusu taathira za ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa KizayuniNov 21, 2019 01:05Wizara ya Mambo ya Nje ya Tunisia imetahadharisha kuhusu taathira hatari za ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu. 
- 
          Hatua mpya ya serikali ya Trump ya kuunga mkono hatua haramu za utawala wa KizayuniNov 20, 2019 07:05Moja ya misingi ya wazi kabisa ya sera za kigeni za Marekani katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump ni kuuunga mkono bila masharti utawala haramu wa Israel na kutekeleza kivitendo hatua ambazo marais waliotangulia wa nchi hiyo walijizuia kuzitekeleza. 
- 
          Jordan yatahadharisha dhidi ya Marekani kubadili msimamo kuhusu vitongoji vya utawala wa KizayuniNov 20, 2019 02:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Jordan Ayman Safadi ametahadharisha kitendo cha Marekani kubadili msimamo wake kuhusiana na ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni unaofanywa na utawala haramu wa Israel katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kukitaja kitendo hicho kuwa hatari. 
- 
          Russia yapinga kuwepo majeshi ya nchi za kigeni Ghuba ya UajemiJul 24, 2019 08:15Mwakilishi wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa kuwepo majeshi ya kigeni katika eneo la Ghuba ya Uajemi kunasababisha hatari ya kutokea vita. 
- 
          Ufaransa na Uingereza zailaani Israel kwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa KizayuniJun 04, 2019 06:26Ufaransa na Uingereza zimelaani jinai za Israel za kuendelea kujenga vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi inazowapora Wapalestina na kusema kuwa kitendo hicho kinakwenda kinyume na sheria za kimataifa. 
- 
          Afrika Kusini yalaani ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa KizayuniMar 27, 2019 07:40Serikali ya Afrika Kusini imelaani kuendelea ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel. 
- 
          Umoja wa Ulaya walaani ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa KizayuniDec 28, 2018 07:00Umoja wa Ulaya umetoa taarifa na kusema kuwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni unaoendelezwa na Israel kwa kujenga nyumba 2,191 katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan ni kinyume cha sheria. 
- 
          Israel kujenga vitongoji vipya vyya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za PalestinaDec 26, 2018 07:21Utawala wa Kizayuni wa Israel umetangaza kuwa, una mpango wa kujenga vitongoji vipya vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu. 
- 
          Uingereza yailaumu Israel kwa kuendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa KizayuniDec 16, 2018 07:42Msemaji wa serikali ya Uingereza ameilaumu Israel kwa kuendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi inazowapora Wapalestina.