-
Msikiti mwingine washambuliwa kwa bomu nchini Ujerumani
Mar 20, 2018 12:23Msikiti mmoja katika mji wa Ulm, kusini mwa Ujerumani umeshambuliwa kwa bomu na watu wasiojulikana, chini ya wiki mbili baada ya msikiti mwingine kuteketezwa kwa moto katika mji mkuu wa nchi hiyo ya Ulaya, Berlin.
-
Iran haifanyi mazungumzo tena kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA
Mar 16, 2018 03:20Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza kuwa katu haitakubali kufanyika mazungumzo mapya kuhusu mapatano ya nyuklia baina yake na mdola sita makubwa duniani.
-
Wenye chuki dhidi ya Uislamu wachoma moto msikiti nchini Ujerumani
Mar 11, 2018 12:58Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa matukio ya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu barani Ulaya, wavamizi wasiojulikana wameuteketeza moto msikiti mmoja katika mji mkuu wa Ujerumani, Berlin.
-
Ujerumani yamkosoa Trump juu ya hatari ya vita vya kibiashara na EU
Mar 06, 2018 23:42Msemaji wa Serikali ya Ujerumani ameikosoa Marekani juu ya uwezekano wa kutokea vita vya kibiashara kufuatia hatua ya Washington kuongeza kiwango cha ushuru wa forodha kwa bidhaa za Ulaya.
-
Karibu matukio 1,000 ya hujuma dhidi ya Waislamu yameorodheshwa Ujerumani mwaka 2017
Mar 03, 2018 04:26Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ujerumani imetangaza kuwa matukio yasiyopungua 950 ya hujuma na mashambulio dhidi ya Waislamu na taasisi za Kiislamu yaliorodheshwa nchini humo mwaka uliopita wa 2017.
-
Ukosoaji mkali wa upinzani nchini Ujerumani dhidi ya kuuziwa Saudia silaha zinazotumika kuua raia Yemen
Feb 25, 2018 09:39Mrengo wa upinzani nchini Ujerumani umekosoa vikali hatua ya nchi hiyo kuiuzia silaha za kisasa Saudi Arabia na washirika wake ambazo wanazitumia katika vita dhidi ya Yemen.
-
Mkutano wa Usalama wa mwaka huu wa Munich, muhimu na nyeti zaidi kuliko iliyopita
Feb 16, 2018 03:39Mkutano wa Usalama wa Munich "Munich Security Conference" (MSC) unatazamiwa kuanza leo tarehe 16 Februari nchini Ujerumani.
-
Idara ya usalama wa ndani ya Ujerumani yahofia kurejea nchini watoto wanachama wa Daesh
Feb 01, 2018 10:41Mkuu wa Idara ya Usalama wa Ndani ya Ujerumani ametahadharisha kuhusu hatari ya watoto na vijana wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh ambao wanarejea nchini humo kutoka maeneo yaliyoathiriwa na vita.
-
Ujerumani yaacha kuiuzia silaha Saudia na wavamizi wa Yemen
Jan 20, 2018 23:39Serikali ya Ujerumani imesitisha kuiuzia silaha Saudia na karibu waitifaki wenzake wote wanaoshiriki katika jinai dhidi ya wananchi wasio na ulinzi wa Yemen.
-
'Kuna uwezekano wa kuingia Ujerumaini zaidi ya watoto 100 waliofundishwa na Daesh'
Jan 08, 2018 12:32Duru za ndani ya bunge la Ujerumani zimefichua habari ya kuwepo uwezekano wa kuingia zaidi ya watoto 100 ambao wamefundishwa na makundi ya kigaidi na ukufurishaji hususan Daesh (ISIS) nchini Iraq na Syria.