Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ukanda wa Ghaza

  • "Vita vya Israel dhidi ya Gaza vinafanana na vita vya Saddam dhidi ya Iran"

    Nov 03, 2023 08:59

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mashambulizi yasiyo na kikomo ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza yanashabihiana na vita vya kivamizi na kichokozi vya dikteta wa zamani wa Iraq, Saddam Hussein dhidi ya Iran katika miaka ya 1980.

  • Abdollahian: Jitihada za kusitisha vita Gaza kwa njia za kisiasa zinaendelea

    Abdollahian: Jitihada za kusitisha vita Gaza kwa njia za kisiasa zinaendelea

    Nov 01, 2023 23:29

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu na Qatar zinaendeleza juhudi za kisiasa za kutaka kusimamishwa vita kwa muda katika Ukanda wa Gaza haraka iwezekanavyo, huku utawala wa Kizayuni wa Israel ukiendelea kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina katika eneo hilo lililozingirwa.

  • Abdollahian na Haniya wakutana Doha na kujadili matukio ya Ukanda wa Gaza

    Abdollahian na Haniya wakutana Doha na kujadili matukio ya Ukanda wa Gaza

    Nov 01, 2023 01:04

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS, ambapo wamebadilishana mawazo kuhusu matukio yanayoendelea kushuhudiwa katika Ukanda wa Gaza.

  • Shambulizi la Israel dhidi ya kambi ya wakimbizi Jabalia laua Wapalestina 200

    Shambulizi la Israel dhidi ya kambi ya wakimbizi Jabalia laua Wapalestina 200

    Oct 31, 2023 12:06

    Mamia ya Wapalestina wameuawa shahidi katika shambulizi la utawala wa Kizayuni wa Israel lililolenga kambi ya wakimbizi ya Jabalia katika Ukanda wa Gaza.

  • Hatua mpya za Marekani katika fremu ya kuuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel

    Hatua mpya za Marekani katika fremu ya kuuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel

    Oct 30, 2023 08:05

    Tangu kuanza duru mpya ya vita kati ya utawala wa Kizayuni na makundi ya muqawama ya Palestina na operesheni ya Kimbunga ya Al-Aqsa na radiamali kali ya Wazayuni dhidi ya hatua hiyo, Marekani ikiwa mshirika wa kistratijia wa Israel imetoa himaya kubwa ya kisiasa, kidiplomasia na kijeshi kwa utawala huo ghasibu. Filihali Washington imechukua hatua mpya katika mwelekeo huu.

  • Pyongyang: Israel imefanya jinai ya kivita kwa kushambulia hospitali Gaza

    Pyongyang: Israel imefanya jinai ya kivita kwa kushambulia hospitali Gaza

    Oct 26, 2023 23:00

    Korea Kaskazini imelaani vikali shambulio la anga lililofanywa na jeshi la utawala haramu wa Israel dhidi ya Hospitali ya Al Ahli Arab katika Ukanda wa Gaza mnamo Oktoba 17 na kuua mamia ya wananchi wa Paalestina.

  • Iran: Marekani ni mshirika wa jinai za Israel dhidi ya Wapalestina wa Gaza

    Iran: Marekani ni mshirika wa jinai za Israel dhidi ya Wapalestina wa Gaza

    Oct 25, 2023 04:07

    Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Marekani ni mshirika katika jinai za kutisha za Israel huko Ukanda wa Gazal kutokana na uungaji mkono wake usio na kifani kwa utawala huo unaokalia kwa mabavu ardhi za Palestina.

  • Ajuza Muisrael aliyekuwa mateka asimulia alivyokirimiwa na wapiganaji wa HAMAS+VIDEO

    Ajuza Muisrael aliyekuwa mateka asimulia alivyokirimiwa na wapiganaji wa HAMAS+VIDEO

    Oct 24, 2023 11:02

    Mwanamke mzee Muisrael aliyeachiliwa huru na wapiganaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema alikirimiwa na kutendewa wema katika muda wa wiki mbili alipokuwa ameshikiliwa mateka na kundi hilo la wanamapambano wa Palestina.

  • "Shambulio la Israel dhidi ya kanisa Gaza linakumbusha tabia za ISIS"

    Oct 21, 2023 04:10

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani shambulizi la Israel dhidi ya Kanisa la Saint Porphyrius katika Ukanda wa Gaza na kueleza kuwa, "Shambulio la Israel dhidi ya kanisa Gaza linashabihiana na nyendo za kundi la kigaidi la ISIS."

  • Jumuiya ya OANA yataka kulindwa waandishi wa habari Gaza

    Jumuiya ya OANA yataka kulindwa waandishi wa habari Gaza

    Oct 19, 2023 23:28

    Jumuiya ya Mashirika ya Habari ya Asia-Pasifiki (OANA) imesisitizia haja ya kudhaminiwa usalama na ulinzi waandishi wa habari walioko katika Ukanda wa Gaza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS