-
Putin atuma manowari yenye makombora ya hypersonic Bahari ya Atlantic, Hindi
Jan 05, 2023 03:44Rais Vladimir Putin wa Russia ameagiza kutumwa katika Bahari ya Atlantic na Bahari Hindi meli ya kivita iliyosheheni makombora ya hypersonic huku vita vya Ukraine vikipamba moto.
-
Putin: Nina uhakika wa asilimia 100 tutayateketeza makombora ya Marekani ya Patriot Ukraine
Dec 25, 2022 22:47Rais Vladimir Putin wa Russia amesema kuhusu uamuzi wa Marekani wa kutuma mitambo ya makombora aina ya Patriot nchini Ukraine, kwamba ana uhakika wa asilimia 100 vikosi vya jeshi la nchi yake vitayateketeza makombora hayo ya ulinzi wa anga ya Washington.
-
Russia yapeleka manowari 3 za kubebea makombora Bahari Nyeusi
Dec 25, 2022 06:59Russia imepeleka manowari tatu za kubebea makombora katika Bahari Nyeusi na kuziweka meli hizo za kivita katika hali ya tahadhari.
-
Iran: Rais wa Ukraine ajifunze kwa hatima ya viongozi walioitegemea US
Dec 22, 2022 23:43Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepuuzilia mbali madai yasiyokuwa na msingi kwamba Tehran imeipa Moscow ndege zisizo na rubani kwa ajili ya kuzitumia katika vita dhidi ya Ukraine na kusisitiza kuwa, Rais wa Volodymyr Zelensky wa Ukraine anapaswa kupata somo kutokana na hatima iliyowafika viongozi mbalimbali waliotegemea misaada ya Marekani.
-
Zelenskyy adai: Kuipatia Ukraine misaada ni kuwekeza katika demokrasia
Dec 22, 2022 07:35Rais wa Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine ameiambia Kongresi ya Marekani kwamba, kuipatia nchi yake misaada ni sawa na kuwekeza katika demokrasia na si suala la kujitolea.
-
Matukio ya Ukraine na sisitizo la Macron la kupewa dhamana ya usalama Russia
Dec 22, 2022 03:47Vita vya Ukraine vinaendelea kama vilivyo licha ya kuingia mwishoni mwa mwezi wake wa 10 tangu vianze, na hakuna ishara zozote za kumalizika karibuni vita hivyo. Kinachoonekana kwenye matukio ya hivi sasa ni kuzidi kuwa vikali tu vita hivyo.
-
Papa Francis: Vita vya Ukraine ni Vita vya Dunia
Dec 18, 2022 23:31Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani amesisitiza kuwa, vita vya Ukraine ni vita vya dunia na havitakwisha hivi karibuni.
-
FIFA yakataa ombi la Rais wa Ukraine la kutangazwa ujumbe wake kabla ya mechi ya fainali
Dec 17, 2022 03:33Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA) inadaiwa limekataa ombi la Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky kutaka kabla ya kuchezwa mchezo wa fainali ya Kombe la Dunia kati ya Argentina na Ufaransa siku ya Jumapili irushwe hewani video yake uwanjani hapo ili kuhamasisha amani.
-
Onyo la Russia kwa NATO kuhusu kuipa Ukraine mfumo wa makombora wa Patriot
Dec 15, 2022 05:45Serikali ya Russia imetangaza kuwa, uamuzi wa Jeshi la Nchi za Magharibi NATO wa kuipa Ukraine mfumo wa kujilinda kwa makombora wa Patriot umechukuliwa kwa lengo la kuishambulia Russia na hiyo ina maana ya kuihalalishia Moscow kuzishambulia nchi wanachama wa NATO.
-
UN: Waliouawa Tigray, Ethiopia ni wengi zaidi ya waliouawa Ukraine
Dec 08, 2022 23:08Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema idadi ya watu waliouawa katika mapigano huko Tigray, kaskazini mwa Ethiopia ni wengi ikilinganishwa na idadi ya waliouawa katika vita vya Ukraine na Russia.