Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ukraine

  • Uhamishaji na usafirishaji nafaka kutoka Ukraine unaendelea vizuri

    Uhamishaji na usafirishaji nafaka kutoka Ukraine unaendelea vizuri

    Aug 07, 2022 08:11

    Kituo cha uratibu wa pamoja wa shughuli ya uhamishaji na usafirishaji wa shehena za nafaka kutoka Ukraine kimetangaza kuwa usafirishaji wa nafaka hizo unaendelea kwa kutumia meli nyingine tano za mizigo.

  • Russia: Tumeua makumi ya mamluki wa kigeni nchini Ukkraine

    Russia: Tumeua makumi ya mamluki wa kigeni nchini Ukkraine

    Aug 07, 2022 02:09

    Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Russia amesema kuwa, jeshi la nchi hiyo limeua makumi ya mamluki wa kigeni katika shambulizi la anga dhidi ya kambi ya kijeshi ya kigeni nchini Ukraine.

  • Russia yatungua ndege 13 zisizo na rubani za Ukraine kwa siku moja

    Russia yatungua ndege 13 zisizo na rubani za Ukraine kwa siku moja

    Jul 31, 2022 02:57

    Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa imetungua ndege 13 zisizo na rubani za Ukraine katika kipindi cha siku moja.

  • Mbunge wa Russia: Kambi za kijeshi karibu na bandari ya Odessa nchini Ukraine zilishambuliwa kwa mabomu

    Mbunge wa Russia: Kambi za kijeshi karibu na bandari ya Odessa nchini Ukraine zilishambuliwa kwa mabomu

    Jul 24, 2022 06:37

    Mbunge mmoja wa Russia amethibitisha kufanyika shambulio la anga kwenye viunga vya bandari ya Odessa nchini Ukraine na kuongeza kwamba ni vituo na kambi za kijeshi ndizo zililengwa katika shambulio hilo.

  • Waziri Mkuu wa Hungary: Vikwazo dhidi ya Russia vimefeli

    Waziri Mkuu wa Hungary: Vikwazo dhidi ya Russia vimefeli

    Jul 24, 2022 03:03

    Waziri Mkuu wa Hungary amekiri kuwa vikwazo shadidi vya Wamagharibi dhidi ya Russia vimefeli na kugonga mwamba, na kusisitiza kwamba serikali za nchi za Ulaya zinaporomoka.

  • Kusainiwa mkataba wa mauzo ya nafaka kutoka Ukraine, mwanzo wa kutatua mgogoro wa chakula duniani

    Kusainiwa mkataba wa mauzo ya nafaka kutoka Ukraine, mwanzo wa kutatua mgogoro wa chakula duniani

    Jul 23, 2022 06:42

    Jana Ijumaa, Ukraine, Uturuki na Umoja wa Mataifa zilitia saini makubaliano ya kutatua mgogoro wa nafaka duniani. Mkataba huo ulitiwa saini kati ya Oleksandr Kubrakov, Waziri wa Miundombinu wa Ukraine, Kholusi Akar Waziri wa Ulinzi wa Uturuki, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres na Waziri wa Ulinzi wa Russia Sergei Shoigu.

  • Mgogoro wa chakula ulimwenguni  kupungua baada ya Russia, Ukraine kusaini mapatano ya nafaka

    Mgogoro wa chakula ulimwenguni kupungua baada ya Russia, Ukraine kusaini mapatano ya nafaka

    Jul 23, 2022 02:23

    Russia na Ukraine zimesaini mapatano pamoja na Umoja wa Mataifa na Uturuki kuhusu kuanza tena usafirishaji wa nafaka huku kukiwa na matumaini kuwa makubaliano hayo yatapunguza shida ya chakula ulimwenguni.

  • Rais wa zamani wa Russia aonya kuhusu 'Siku ya Kiyama'

    Rais wa zamani wa Russia aonya kuhusu 'Siku ya Kiyama'

    Jul 18, 2022 03:06

    Rais wa zamani wa Russia ameionya vikali Ukraine na kusema kuwa, iwapo Kiev itathubutu kulishambulia eneo la Crimea, basi Kiyama kitawafikia wao pamoja na washirika wao kwa wakati mmoja.

  • Ukraine yavunja uhusiano na Korea Kaskazini kwa kuyatambua maeneo yaliyojitenga na nchi hiyo

    Ukraine yavunja uhusiano na Korea Kaskazini kwa kuyatambua maeneo yaliyojitenga na nchi hiyo

    Jul 14, 2022 02:56

    Ukraine imevunja uhusiano wake wa kidiplomasia na Korea Kaskazini baada ya Pyongyang kuyatambua maeneo mawili ya mashariki ya Ukraine ya Donetsk na Luhansk yaliyojitenga na Kyiv na kujitangaza Jamhuri huru zinazojitawala.

  • UN: Raia zaidi ya elfu tano wameuliwa katika vita Ukraine

    UN: Raia zaidi ya elfu tano wameuliwa katika vita Ukraine

    Jul 12, 2022 22:28

    Kamisheni Kuu ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imeeleza kuwa, raia zaidi ya elfu 5 wameuliwa huko Ukraine tangu kuanza vita nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS