-
Putin asisitiza udharura wa kuendelea operesheni za kijeshi za Russia nchini Ukraine
Apr 15, 2022 00:50Akizungumza Jumanne katika kikao cha wafanyikazi wa kituo cha anga cha Vostochny Mashariki ya Mbali nchini Russia, kuhusu kufikiwa malengo ya shambulio la Ukraine, ambayo aliyataja kuwa ya "wazi kabisa na bora," Rais Vladimir Putin amesema: Hakuna shaka hali itaendelea kuwa hivyo."
-
Watoto 400 wajeruhiwa hadi hivi sasa tangu kuanza vita vya Ukraine
Apr 14, 2022 05:37Shirika lisilo la kiserikali la Save The Children limetangaza kuwa, karibu watoto 400 wameuawa na kujeruhiwa katika wiki saba za vita vya Ukraine.
-
Taathira hasi ya vita vya Ukraine juu ya uchumi wa dunia
Apr 13, 2022 21:54Ikiwa zimepita siku 47 tangu kuanza vita vya Russia na Ukraine, hasara za kiuchumi za vita hivyo zinaongezeka siku baada ya nyingine, kadiri kwamba Shirika la Biashara Duniani WTO limetangaza katika ripoti yake ya karibuni kwamba vita hivyo vimeathiri vibaya uchumi wa dunia.
-
Lavrov: Lengo la operesheni maalumu ya Russia nchini Ukraine ni kukomesha udhibiti wa Marekani duniani
Apr 12, 2022 03:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema lengo la operesheni maalumu ya Moscow nchini Ukraine ni kukomesha udhibiti wa Marekani duniani.
-
Konashenkov: Russia imeangamiza mfumo wa makombora wa S-300 wa Ukraine
Apr 11, 2022 03:14Igor Konashenkov Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Russia amesema kuwa, makombora ya nchi hiyo yamevunjilia mbali mfumo wa makombora wa S-300 wa Ukraine katika maeneo mawili.
-
Ramaphosa: Mgogoro wa Ukraine umefichua udhaifu wa Baraza la Usalama la UN
Apr 08, 2022 22:02Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesema mgogoro wa Ukraine umeanika wazi udhaifu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, na namna taasisi hiyo kubwa zaidi ya kimataifa isivyo na uwezo wa kuidhaminia dunia amani na usalama.
-
Sisitizo la Putin la kutazamwa upya siasa za kuuzwa nje bidhaa za chakula za Russia
Apr 06, 2022 21:26Katika hotuba aliyotoa siku ya Jumanne, Rais Vladimir Putin wa Russia amelaani mashinikizo yanayotolewa na nchi za Ulaya dhidi ya shirika la Gazprom, ambalo husafirisha gesi ya nchi hiyo kwenda Ulaya, na kutishia kuchukua hatua za kulipiza kisasi.
-
Wahajiri wengine 90 wafa maji katika ajali Bahari ya Mediterania
Apr 04, 2022 06:28Mkuu wa Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR amezitaka nchi za Ulaya kuwa na ukarimu na kuamiliana vyema na wakimbizi wengine, kama zinavyoamiliana na wakimbizi wa Ukraine.
-
Russia yafichua mengi kuhusu nafasi ya mtoto wa Biden katika utengenezaji wa silaha za kibaolojia Ukraine
Apr 01, 2022 22:02Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa nyaraka zilizopatikana kutoka kwenye barua pepe za mtoto wa Rais wa Marekani zinaonyesha kwamba alikuwa na nafasi muhimu katika utengenezaji wa silaha za kibiolojia nchini Ukraine.
-
Ukraine iko tayari kubadili Katiba na kutupilia mbali kujiunga na NATO
Mar 31, 2022 03:28Waziri Mkuu wa Slovenia ametangaza utayarifu wa Ukraine wa kubadilisha Katiba ya nchi hiyo na kuachana na nia yake ya kujiunga na NATO.