Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ukraine

  • WHO yatahadharisha kuhusu uhaba wa oksijeni katika hospitali za Ukraine

    WHO yatahadharisha kuhusu uhaba wa oksijeni katika hospitali za Ukraine

    Feb 28, 2022 04:19

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha juu uhaba wa mitungi ya oksijeni katika hospitali za Ukraine katika kipindi cha masaa 24 yajayo.

  • Mazungumzo ya simu ya Marais wa Iran na Russia

    Mazungumzo ya simu ya Marais wa Iran na Russia

    Feb 27, 2022 00:22

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Sayyid Ebrahim Raisi, na Rais wa Russia, Vladimir Putin, walifanya mazungumza ya simu Alhamisi iliyopita kuhusu masuala ya kimataifa na mazungumzo yanayoendelea huko Vienna kuhusu suala la kuondolewa vikwazo vya nchi za Magharibi dhidi ya Iran.

  • Rais wa Ukraine akataa

    Rais wa Ukraine akataa "ofa" ya Marekani, asema: Nahitaji silaha na si kukimbia nchi yangu

    Feb 26, 2022 05:22

    Wakati milio ya sauti za silaha nzito ikiendelea kurindima katika viiunga vya mji mkuu wa Ukraine, Kiev baada ya kusita kwa muda mfupi usiku wa kuamkia leo, Rais wa Ukraine amekata "ofa" ya Marekani ya kumsaidia kuondoka nchini humo.

  • Hizbullah: Ukraine ilifanya makosa kuitegemea Marekani

    Hizbullah: Ukraine ilifanya makosa kuitegemea Marekani

    Feb 26, 2022 04:18

    Mkuu wa Baraza Kuu la harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema ni makosa kwa baadhi ya nchi kutegemea uungwaji mkono na himaya ya Marekani, na kwamba kadhia ya Ukraine imethibitisha tena ukweli huo.

  • Russia yapiga veto azimio la Baraza la Usalama, Rais wa Ukraine asema jeshi la Russia litaingia Kiev leo

    Russia yapiga veto azimio la Baraza la Usalama, Rais wa Ukraine asema jeshi la Russia litaingia Kiev leo

    Feb 25, 2022 23:58

    Russia imepiga kura ya veto dhidi ya muswada wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa uliolokuwa ukilaani mashambulizi ya kijeshi nchini Ukraine.

  • Umoja wa Afrika wataka kusimamishwa mgogoro wa Ukraine

    Umoja wa Afrika wataka kusimamishwa mgogoro wa Ukraine

    Feb 25, 2022 11:17

    Umoja wa Afrika umetoa mwito wa kusimamishwa haraka iwezekanavyo mgogoro wa Ukraine.

  • Vikwazo vyenye wigo mpana vya Wamagharibi dhidi ya Russia

    Vikwazo vyenye wigo mpana vya Wamagharibi dhidi ya Russia

    Feb 25, 2022 10:03

    Baada ya Russia kuchukua uamuzi wa kuishambuulia kijeshi Ukraine, kambi ya magharibi imeonyesha radiamali katika fremu ya kuiwekea vikwazo Moscow ambapo kabla ya hapo madola hayo yalikuwa yameahidi kuchukua uamuzi huo.

  • Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Hatua za kichochezi za NATO zimeifanya hali katika eneo iwe tata

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Hatua za kichochezi za NATO zimeifanya hali katika eneo iwe tata

    Feb 25, 2022 09:39

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehrah amesema, hatua za kichochezi zilizochukuliwa na shirika la kijeshi la NATO kwa uongozi wa Marekani zimetatanisha hali ya mambo katika eneo; na si hasha zikaifanya iwe tata zaidi.

  • Serikali ya Iran: Vita si suluhisho la mgogoro wowote ule

    Serikali ya Iran: Vita si suluhisho la mgogoro wowote ule

    Feb 25, 2022 03:26

    Msemaji wa serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vita si suluhisho la tatizo lolote lile. Amesema hayo ikiwa ni kutangaza msimamo wa serikali ya Iran kuhusu vita baina ya Russia na Ukraine huko mashariki mwa Ulaya.

  • Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran: Mgogoro wa Ukraine umesababishwa na uchochezi wa NATO

    Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran: Mgogoro wa Ukraine umesababishwa na uchochezi wa NATO

    Feb 24, 2022 11:39

    Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iran ametuma ujumbe katika mtandao wa kijamii wa Twitter akisisitiza kuwa chanzo cha mgogoro wa Ukraine ni hatua za kichochezi za Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO).  

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS