Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ukraine

  • Russia: Huwenda hatutoyatambua matokeo ya uchaguzi wa rais nchini Ukraine

    Russia: Huwenda hatutoyatambua matokeo ya uchaguzi wa rais nchini Ukraine

    Apr 02, 2019 09:02

    Mkuu wa Kamati ya Kimataifa ya Baraza la Shirikisho la Russia ameashiria uwepo wa ripoti zinazoonyesha kutokuwepo uzingatiaji wa sheria katika uchaguzi wa rais nchini Ukraine na kusema kuwa, huwenda serikali ya Moscow isitambue matokeo ya uchaguzi huo.

  • Kushadidi mivutano baina ya Russia na Ukraine; vikwazo na makabiliano ya kijeshi

    Kushadidi mivutano baina ya Russia na Ukraine; vikwazo na makabiliano ya kijeshi

    Dec 26, 2018 05:05

    Tangu mwaka 2014 wakati hatamu za uongozi wa nchi ya Ukraine ziliposhikwa na serikali yenye mielekeo ya Kimagharibi na kuunganishwa eneo la Cremia na ardhi ya Russia, uhusiano wa Moscow na Kiev uliporomoka sana na kutawaliwa na mivutano mingi.

  • Rais wa Ukraine: Kuna uwezekano tukaingia vitani na Russia

    Rais wa Ukraine: Kuna uwezekano tukaingia vitani na Russia

    Nov 28, 2018 12:12

    Sambamba na Rais Petro Poroshenko wa Ukraine kusema kuwa, Russia imeimarisha zaidi kuwepo kwake kijeshi katika mpaka wa nchi hiyo, ameeleza kuwa, kuna uwezekano kukatokea vita kamili kati ya nchi yake na Russia.

  • Putin: Crimea kamwe haitarejeshwa kwa Ukraine

    Putin: Crimea kamwe haitarejeshwa kwa Ukraine

    Mar 12, 2018 10:25

    Rais wa Russia amesema kuwa nchi hiyo kamwe haitairejesha Crimea kwa Ukraine.

  • Radiamali kali ya Russia juu ya ongezeko la kuwepo kijeshi Marekani nchini Ukraine

    Radiamali kali ya Russia juu ya ongezeko la kuwepo kijeshi Marekani nchini Ukraine

    Aug 26, 2017 06:37

    Igor Morozev, afisa wa ngazi ya juu katika bunge la Russia ameonya kwamba, nchi yake itachukua hatua maalumu ikiwemo kuimarisha mipaka yake, ikiwa Marekani itapanua uwepo wake kijeshi nchini Ukraine.

  • Malengo ya safari ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani katika nchi za Jordan, Uturuki na Ukraine

    Malengo ya safari ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani katika nchi za Jordan, Uturuki na Ukraine

    Aug 21, 2017 03:44

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani, James Mattis jana Jumapili aliwasili Amman katika awamu ya kwanza ya safari ya kuzitembelea nchi tatu za Jordan, Uturuki an Ukraine.

  • Kuongezwa muda vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia

    Kuongezwa muda vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia

    Mar 15, 2017 09:49

    Jumatatu iliyopita Umoja wa Ulaya, ulitangaza kurefusha vikwazo kwa muda wa miezi sita mingine dhidi ya shakhsia na mashirika kadhaa ya Russia na eneo la Crimea, yaani hadi tarehe 15 Septemba mwaka huu.

  • Saudia kununua silaha zaidi kutoka Ukraine

    Saudia kununua silaha zaidi kutoka Ukraine

    Oct 30, 2016 11:55

    Utawala wa kifalme wa Saudi Arabia umeongeza ushirikiano wake na nchi ya Ulaya Mashariki ya Ukraine na iko mbioni kununua silaha zaidi kutoka nchini humo.

  • Russia: Marekani iache unafiki na undumakuwili

    Russia: Marekani iache unafiki na undumakuwili

    Mar 11, 2016 05:53

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameitaja Marekani pamoja na waitifaki wake wa Magharibi kuwa ni wanafiki kwa kukataa kulaani hujuma za hivi karibuni dhidi ya ubalozi wa Russia nchini Ukraine.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS