-
Bamada: Ukraine inaratibu mashambulizi ya magaidi nchini Mali
Jun 07, 2025 03:28Wakufunzi wa kijeshi wa Ukraine wanawafunza na kuwapa silaha wanamgambo wenye mfungamano na mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda nchini Mali.
-
Je, kutumwa silaha za nchi za Magharibi Ukraine kunatishia vipi usalama wa Afrika?
Jun 02, 2025 02:39Mkuu wa Idara ya Ushirikiano na Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kwamba silaha za Magharibi zinazotumwa Kiev hatimaye zinaishia mikononi mwa makundi ya kigaidi yenye silaha barani Afrika.
-
Witkoff: Amani haiwezi kupatikana Ukraine bila ridhaa ya Putin
May 13, 2025 23:14Steve Witkoff, Mjumbe maalumu wa Rais wa Marekani, Donald Trump amesema utatuzi wa amani wa mzozo wa Ukraine hauwezekani bila idhini na ridhaa ya Rais wa Russia, Vladimir Putin.
-
Putin: Tunatumai hatutalazimika kutumia silaha za nyuklia Ukraine
May 04, 2025 22:52Rais wa Russia, Vladimir Putin amesema kufikia sasa, udharura wa kutumia silaha za nyuklia nchini Ukraine haujajitokeza, na kwamba anatumai hautatokea.
-
Kremlin: Russia inaweza kutoa msaada wa kijeshi kwa Korea Kaskazini 'ikiwa italazimu'
Apr 29, 2025 03:20Ikulu ya Russia, Kremlin imesema nchi hiyo inaweza kutoa msaada wa kijeshi kwa Korea Kaskazini chini ya makubaliano ya ushirikiano wa kimkakati yaliyotiwa saini kati ya nchi hizo mbili mwishoni mwa mwaka jana.
-
Trump: Ukraine ndiyo ya kulaumiwa kwa kuanzisha mzozo na Russia
Apr 26, 2025 02:06Rais wa Marekani, amedai kuwa maneno yake kuhusu kumaliza vita nchini Ukraine kwa siku moja yalitiwa chumvi, na kusema kuwa Kiev ndiyo ya kulaumiwa kwa kuanzisha vita na Russia.
-
Russia: Ukraine imekiuka usitishaji vita wa Pasaka kwa kutumia makombora ya Marekani
Apr 22, 2025 04:05Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa kombora la HIMARS lililotengenezwa Marekani limetumika katika mashambulizi ya hivi karibuni ya Ukraine na kwamba huo ni ukiukaji wa usitishaji mapigano katika kipindi cha Pasaka.
-
Onyo la Marekani kuhusu kurejea nyuma katika mazungumzo ya vita vya Ukraine
Apr 20, 2025 22:54Marco Rubio Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani ametangaza kuwa, Rais Donald Trump atajiondoa katika juhudi za kupatanisha makubaliano ya amani kati ya Russia na Ukraine ndani ya siku chache zijazo isipokuwa kama kutakuwa na dalili za wazi kwamba makubaliano yanaweza kufikiwa.
-
Mamia ya familia zalazimika kukimbia baada ya RSF kushambulia vijiji Darfur, Sudan
Apr 08, 2025 06:12Mamia ya familia zimefurushwa kutoka vijiji viwili magharibi mwa Sudan baada ya mashambulizi yaliyofanywa na wapiganaji wa Vikosi vya Usaidizi wa Haraka (RSF). Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM).
-
Diop: Ukraine inachochea ukosefu wa utulivu barani Afrika
Apr 08, 2025 03:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Mali, Abdoulaye Diop amesema Ukraine inavuruga utulivu barani Afrika kwa kuunga mkono makundi ya kigaidi katika eneo la Sahel barani humo.