Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ukraine

  • Ujerumani yajitutumua, yatoa onyo dhidi ya Marekani

    Ujerumani yajitutumua, yatoa onyo dhidi ya Marekani

    Feb 22, 2025 11:55

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesema Ulaya haipaswi kusita kuweka mashinikizo dhidi ya Marekani, iwapo Washington itashindwa kukumbatia 'demokrasia ya kiliberali'.

  • EU yamkingia kifua Zelensky baada ya kushambuliwa vikali na Trump

    EU yamkingia kifua Zelensky baada ya kushambuliwa vikali na Trump

    Feb 21, 2025 06:50

    Mvutano kati ya Ulaya na Marekani umeendelea kushtadi, baada ya viongozi wa nchi kadhaa za Umoja wa Ulaya kumkingia kifua Rais Vladimir Zelensky wa Ukraine, aliyeshambulia kwa maneno makali na Rais Donald Trump wa Marekani hivi karibuni.

  • Katibu Mkuu wa UN: Hakuna kisingizio cha kuikosesha Afrika kiti cha kudumu katika Baraza la Usalama

    Katibu Mkuu wa UN: Hakuna kisingizio cha kuikosesha Afrika kiti cha kudumu katika Baraza la Usalama

    Feb 18, 2025 13:42

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema, hakuna kisingizio cha kuifanya Afrika iendelee kuwa haina uwakilishi wa kudumu kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

  • Waziri Mkuu wa Italia: EU isichukue msimamo unaogongana na wa Marekani katika kadhia ya Ukraine

    Waziri Mkuu wa Italia: EU isichukue msimamo unaogongana na wa Marekani katika kadhia ya Ukraine

    Feb 18, 2025 13:41

    Waziri Mkuu wa Italia Giorgia Meloni amesema, Umoja wa Ulaya haupaswi kuchukua msimamo ambao utakinzana na sera ya Marekani kuhusu Ukraine. Hayo ni kwa mujibu wa shirika rasmi la habari la Italia ANSA.

  • NBC: Trump amtaka Zelensky ampatie umiliki wa asilimia 50 wa madini adimu ya Ukraine

    NBC: Trump amtaka Zelensky ampatie umiliki wa asilimia 50 wa madini adimu ya Ukraine

    Feb 16, 2025 07:59

    Kwa mujibu wa maafisa wanne wa Marekani, utawala wa Trump umependekeza kwa Ukraine kwamba iwapo nchi hiyo itaipatia Marekani asilimia 50 ya madini yake adimu, iko tayari kutuma wanajeshi wake ili kuilinda Ukraine iwapo itafikia makubaliano na Russia.

  • Moscow: Zelensky 'ana kichaa' kwa kutaka silaha za nyuklia za NATO

    Moscow: Zelensky 'ana kichaa' kwa kutaka silaha za nyuklia za NATO

    Feb 06, 2025 02:32

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia, Maria Zakharova amesema mwito wa Rais wa Ukraine, Vladimir Zelensky wa kutaka Kyev ipewe silaha za nyuklia na shirika la kijeshi la NATO unatia wasiwasi mkubwa.

  • Mbunge wa Ukraine aitaka EU imuue kigaidi Rais Putin

    Mbunge wa Ukraine aitaka EU imuue kigaidi Rais Putin

    Feb 01, 2025 07:21

    Mbunge wa Ukraine, Aleksey Goncharenko amewataka wazi wazi wabunge wa Umoja wa Ulaya kuunga mkono wazo la kuuawa Rais wa Russia, Vladimir Putin na kulipigia debe miongoni mwa watu wa kawaida.

  • CNN: Idadi ya wanajeshi wa Marekani waliouawa nchini Ukraine inaongezeka

    CNN: Idadi ya wanajeshi wa Marekani waliouawa nchini Ukraine inaongezeka

    Jan 31, 2025 13:28

    Televisheni ya CNN ya Marekani imeripoti kuwa idadi ya wanajeshi wa Marekani waliouawa kwenye mstari wa mbele wa vita nchini Ukraine imeongezeka katika kipindi cha miezi 6 iliyopita.

  • Moscow: Marekani inachuma pesa kutokana na vita vya Ukraine

    Moscow: Marekani inachuma pesa kutokana na vita vya Ukraine

    Jan 24, 2025 03:34

    Msemaji wa Kremlin amekosoa himaya ya kifedha na kisiasa ya Washington kwa serikali ya Kiev na kusema: Marekani inapata pesa kwa kuuza rasilimali zake za nishati za bei ya juu kwa watu wa Ulaya walioathiriwa na vita.

  • Mkuu wa Intelijensia Ufaransa adai Ikhwanul-Muslimin ina lengo la kuasisi 'Khilafa' ya Ulaya

    Mkuu wa Intelijensia Ufaransa adai Ikhwanul-Muslimin ina lengo la kuasisi 'Khilafa' ya Ulaya

    Dec 27, 2024 06:53

    Mkuu wa Shirika la Intelijensia la Ufaransa amedai kuwa Harakati ya Kiislamu ya Ikhwanul-Muslimin imekuwa ikipanua ushawishi wake nchini humo, na lengo lake kuu ni kuifanya nchi hiyo kuwa sehemu ya Khilafa inayoendeshwa kwa Sharia za Uislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS