-
Takht-Ravanchi: Marekani ilikiuka wazi sheria za kimataifa kwa kujiondoa JCPOA
May 25, 2019 02:20Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kujiondoa Marekani katika mpatano ya nyuklia ya JCPOA ni ukiukwaji wa wazi wa sheria za kimataifa hasa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Mamia ya wahajiri wa Kiafrika waokolewa katika maji ya pwani ya Libya
May 24, 2019 07:15Gadi ya Pwani ya Libya imetangaza habari ya kuokoa mamia ya wahajiri wa Kiafrika katika operesheni mbili za leo Ijumaa nje kidogo ya mji mkuu Tripoli.
-
Mkutano wa Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Umoja wa Ulaya na sisitizo la kutekelezwa makubaliano ya JCPOA
May 14, 2019 21:47Umoja wa Ulaya na Troika ya Ulaya (Ujerumani, Ufaransa na Uingereza) daima zimekuwa zikiunga mkono makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kusisitiza kutekelezwa kwake.
-
Indhari ya Katibu Mkuu wa UN kuhusu kushtadi mivutano ya kibiashara duniani
May 11, 2019 06:40Rais Donald Trump wa Marekani kivitendo ameamua kuingia katika vita vya kibiashara na aghalabu ya nchi zilizo na uchumi unaonawiri duniani kwa kutekeleza siasa za kiuchumi za uchukuaji maamuzi ya upande mmoja na kuongeza ushuru wa forodha kwa bidhaa zinazoingia Marekani.
-
Uingereza, Ujerumani: Ulaya inafanya juhudi za kutekeleza mfumo wa INSTEX
May 11, 2019 03:26Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zimesema zinafanya juu chini kuhakikisha kuwa mfumo maalumu wa kifedha wa Ulaya na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (INSTEX) unaanza kufanya kazi.
-
Tahadhari ya Katibu Mkuu wa OPEC kuhusu taathira hasi za kuiwekea Iran vikwazo vya mafuta
May 03, 2019 23:08Hatua ya serikali ya Marekani kuiwekea Iran vikwazo vya mafuta baada ya kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA imekabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa wanunuzi wa mafuta ghafi ya petroli ya Iran katika soko la kimataifa na pia kutoka kwa wakuu wa Shirika la Nchi Zinazouza Mafuta kwa Wingi Duniani (OPEC).
-
Reuters: Marekani na Ulaya 'zinaiba dhahabu Afrika' kupitia Imarati
Apr 24, 2019 23:50Uchunguzi uliofanywa na shirika la habari la Reuters umefichua kuwa, tani za dhahabu zenye thamani ya mabilioni ya dola zinasafirishwa kila mwaka kwa njia za magendo kutoka Afrika kuelekea Marekani na nchi za Ulaya, huku Umoja wa Falme za Kiarabu ukitajwa kuwa lango kuu la biashara hiyo haramu.
-
Papa azilaumu Marekani na Ulaya kwa mauaji ya watu katika maeneo ya vita
Apr 07, 2019 02:20Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amesema mashindano ya kuuza silaha yanayofanywa na Marekani na nchi za Magharibi ndiyo sababu ya mauji ya watu wakiwemo watoto wadogo katika nchi zinazoshuhudia vita katika kona mbalimbali duniani.
-
JCPOA ya staili ya Ulaya ya kumridhisha na kumhudumia Trump
Apr 04, 2019 03:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, madai ya nchi tatu zinazounda Troika ya Ulaya dhidi ya mpango wa makombora wa Iran ni aina mojawapo ya kukwamisha mambo na kufanya yale yanayoipendeza na kuiridhisha Marekani.
-
Wenye chuki na Uislamu Denmark waivunjia heshima Qur'ani tukufu kwa kuuchoma moto msahafu
Mar 23, 2019 03:32Katika harakati nyingine ya uenezaji chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia), kiongozi wa chama kimoja cha mrengo wa kulia chenye misimamo ya kufurutu mpaka nchini Denmark ameuchoma moto msahafu mbele ya jengo la bunge la nchi hiyo.