-
Utafiti: 25% ya wananchi wa Ulaya wanafadhilisha kuongozwa na maroboti badala ya wanasiasa
Mar 20, 2019 04:14Utafiti mpya wa maoni umefichua kuwa, zaidi ya robo ya wananchi wa Ulaya wangependa maamuzi muhimu ya nchi zao yachukuliwe na maroboti badala ya viongozi wa kisiasa waliowachagua wao au watumishi wa umma walioteuliwa.
-
Rais wa Austria: Ulaya isikubali kufuata mdundo wa ngoma inayopigwa na Trump kuhusu Iran
Mar 19, 2019 12:25Rais Alexander Van der Bellen wa Austria amelaani hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kujitoa kwenye makubaliano ya nyuklia na Iran yaliyofikiwa mwaka 2015 na vitisho alivyotoa vya kuyawekea vikwazo mashirika na makampuni yanayofanya biashara na Tehran, na kusisitiza kuwa nchi za Ulaya zisikubali kufuata mdundo wa ngoma inayopigwa na Trump.
-
Le Monde: Matajiri wa Marekani wanafadhili propaganda chafu dhidi ya Uislamu
Mar 12, 2019 13:03Kundi dogo la matajiri na vibopa wa Marekani linafadhili mitandao inayosambaza habari na mashambulizi na propaganda chafu zinazoenezwa kupitia mtandao wa intaneti barani Ulaya kwa ajili ya kueneza fikra za mrengo wa kulia wenye misimamo mikali na kuchochea uadui dhidi ya Uislamu na matukufu yake.
-
Qassemi: Iran haiwaombi wengine ruhusa kuhusu masuala yake ya ndani na nje
Mar 04, 2019 10:48Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haikubali masharti na haiwaombi wengine ruhusa kuhusu masuala yake ya ndani ya nje.
-
Bwabwaja mpya za Mike Pence dhidi ya Iran, kukaririwa tuhuma bandia
Mar 03, 2019 23:09Marekani katika kipindi cha uongozi wa Rais Donald Trump, imeonyesha wazi misimamo yake ya kudhoofisha na kujaribu kuundoa madarakani mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu nchini Iran.
-
Nchi za Ulaya zalikataa ombi la Marekani la kuzitaka zibakie Syria
Feb 21, 2019 21:42Nchi za Ulaya zimelikataa ombi la Rais Donald Trump wa Marekani la kuzitaka zipeleke vikosi vya majeshi yao nchini Syria na kujaza nafasi itakayoachwa wazi na vikosi vya jeshi la Marekani.
-
Bahram Qassemi: Madola ya Ulaya hayapaswi kufuatilia kukamilisha matakwa yao kutoka kwa Iran
Feb 18, 2019 11:44Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, subira na uvumilivu wa wananchi na serikali ya Iran una mipaka na kwamba, madola ya Ulaya hayapaswi kutumia muda kwa ajili ya kufuatilia kukamilisha matakwa yao kutoka kwa Iran.
-
Uhispania yapinga kutumwa nchini Syria wanajeshi wa muungano wa Nato
Feb 17, 2019 23:02Waziri wa Mambo ya Nje wa Uhispania amepinga ombi la Marekani kwa nchi wanachama wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (Nato) kwa ajili ya kutumwa wanajeshi wa nchi hizo huko Syria.
-
Mkutano wa Warsaw, jitihada zilizofeli za Marekani dhidi ya Iran
Feb 14, 2019 03:47Katika fremu ya mtazamo wake kuhusiana na eneo la Mashariki ya Kati, Marekani jana ilifungua mkutano wa siku mbili katika mji mkuu wa Poland, Warsaw uliopewa jina la "Amani na Usalama wa Mashariki ya Kati. Washington inasema nchi 70 zimealikwa kushiriki katika mkutano huo.
-
Salehi: Ushirikiano wa Iran na Ulaya unaendelea katika miradi ya nyuklia
Feb 03, 2019 03:31Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Nyuklia ya Iran amesema kuwa ushirikiano kati ya Iran na Ulaya katika miradi mbalimbali ya kinyuklia unapiga hatua nzuri.