Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ulaya

  • Qassemi: Mkutano wa Warsaw ni wa kuleta hitilafu na mifarakano baina ya Iran na Ulaya

    Qassemi: Mkutano wa Warsaw ni wa kuleta hitilafu na mifarakano baina ya Iran na Ulaya

    Jan 28, 2019 09:15

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kufanyika mkutano ulio dhidi ya Iran wa Warsaw Poland ni kuzusha hitilafu na mgawanyiko baina ya Iran na baadhi ya nchi za Ulaya.

  • Maelfu ya wanawake waandamana dhidi ya Trump Marekani na Ulaya

    Maelfu ya wanawake waandamana dhidi ya Trump Marekani na Ulaya

    Jan 20, 2019 04:13

    Maelfu ya wanawake wameshiriki maandamano katika miji mikubwa ya Marekani na Ulaya kupinga sera za kibaguzi za Rais Donald Trump.

  • Shehena ya madawa ya kulevya iliyokuwa ikisafirishwa kupelekwa Ulaya yanaswa kusini mwa Iran

    Shehena ya madawa ya kulevya iliyokuwa ikisafirishwa kupelekwa Ulaya yanaswa kusini mwa Iran

    Jan 19, 2019 21:42

    Wizara ya Usalama ya Iran imetangaza kuwa vikosi vya usalama vimegundua na kunasa shehena ya madawa ya kulevya aina ya heroini yenye uzito wa kilo 618 katika bandari moja ya kusini mwa nchi.

  • Wanaharakati 3000 wataka kususiwa mkutano dhidi ya Iran huko Poland

    Wanaharakati 3000 wataka kususiwa mkutano dhidi ya Iran huko Poland

    Jan 17, 2019 12:47

    Wanaharakati 3000 wanaopinga vita huko Marekani na katika nchi nyingine duniani wametia saini hati inayozitaka nchi za Ulaya kususia mkutano wa kuipiga vita Iran uliopangwa kufanyika nchini Poland.

  • Bahram Qassemi: Iran itatoa majibu dhidi ya vitendo vya kiuadui dhidi yake

    Bahram Qassemi: Iran itatoa majibu dhidi ya vitendo vya kiuadui dhidi yake

    Jan 14, 2019 23:11

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran itachukua hatua ya lazima na mwafaka mkabala na kitendo chochote kile cha kiuadui ambacho kitakuwa dhidi ya maslahi ya kitaifa ya Iran.

  • Kiongozi Muadhamu: Wanafunzi wa vyuo vikuu ni tarajio la Jamhuri ya Kiislamu

    Kiongozi Muadhamu: Wanafunzi wa vyuo vikuu ni tarajio la Jamhuri ya Kiislamu

    Jan 12, 2019 10:00

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kwamba, kuungana wanavyuo wa Iran katika kuna zote za dunia na harakati ya maendeleo na kuifanya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran isiyahitajie madola ya kigeni, ni mapambano ya jihadi katika njia ya Mwenyezi Mungu.

  • Zarif: Iran haitazisubiri nchi za Ulaya

    Zarif: Iran haitazisubiri nchi za Ulaya

    Jan 08, 2019 04:12

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, Tehran inafanya mazungumzo na washirika wake wa jadi kwa ajili ya kudhamini maslahi ya watu wa Iran.

  • Iran: Ulaya haina nia ya kweli ya kukabiliana na mashinikizo ya Marekani + Video

    Iran: Ulaya haina nia ya kweli ya kukabiliana na mashinikizo ya Marekani + Video

    Dec 31, 2018 11:43

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Ulaya imeonesha kivitendo kuwa haina nia ya kweli ya kukabiliana na mashinikizo ya Marekani.

  • Benki ya HSBC yajiunga na harakati ya kuisusia Israel

    Benki ya HSBC yajiunga na harakati ya kuisusia Israel

    Dec 28, 2018 21:39

    Benki mashuhuri ya HSBC ambayo ni ya saba kwa ukubwa duniani imesitisha ushirikiano wake na kampuni ya kuzalisha silaha ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya Elbit Systems, kutokana na ukiukaji wa haki za binadamu.

  • Interpol yatahadharisha, Daesh watafanya tena mashambulizi Ulaya

    Interpol yatahadharisha, Daesh watafanya tena mashambulizi Ulaya

    Dec 21, 2018 00:23

    Katibu Mkuu wa Polisi ya Kimataifa (Interpol) ametahadharisha kuhusu uwezekano wa kundi la kigaidi la Daesh kufanya tena mashambulizi katika nchi za Ulaya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS