Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ulaya

  • Onyo la Trump kwa mashirika ya Ulaya; hatua mpya ya kuvuruga mapatano ya JCPOA

    Onyo la Trump kwa mashirika ya Ulaya; hatua mpya ya kuvuruga mapatano ya JCPOA

    Jul 02, 2018 22:39

    Rais Donald Trump wa Marekani ameonya kwamba atayawekea vikwazo mashirika yote ya Ulaya ambayo yataamua kufanya biashara na Iran.

  • Algeria yapinga mpango wa Ulaya kuhusu wahajiri haramu

    Algeria yapinga mpango wa Ulaya kuhusu wahajiri haramu

    Jul 01, 2018 09:15

    Waziri Mkuu wa Algeria ametangaza kuwa, nchi yake inapinga mpango wa Umoja wa Ulaya wa kuanzisha kambi za wahajiri haramu nchini humo.

  • MSF yalaani makubaliano ya viongozi wa Ulaya kuhusu wahajiri

    MSF yalaani makubaliano ya viongozi wa Ulaya kuhusu wahajiri

    Jun 29, 2018 23:38

    Jumuiya ya Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) imelaani makubaliano yaliyofikiwa na viongozi wa Ulaya kuhusu sera za jinsi kuamiliana na wahajiri wanaoelekea barani Ulaya.

  • Mkuu wa Baraza la Ulaya atahadharisha kuhusu kuharibika uhusiano wa Umoja wa Ulaya na Marekani

    Mkuu wa Baraza la Ulaya atahadharisha kuhusu kuharibika uhusiano wa Umoja wa Ulaya na Marekani

    Jun 29, 2018 03:13

    Donald Tuska, mwenyekiti wa Baraza la Ulaya amewataka viongozi wa nchi za Umoja wa Ulaya kujitayarisha kwa ajili ya hali mbaya zaidi katika uhusiano wa nchi hizo na Marekani. Amebainisha kuwa sera za Rais Donald Trump wa Marekani zinaenda kinyume na thamani za Umoja wa Ulaya.

  • EuroMed Rights: Ukatili dhidi ya wahajiri unaongezeka barani Ulaya

    EuroMed Rights: Ukatili dhidi ya wahajiri unaongezeka barani Ulaya

    Jun 22, 2018 00:22

    Shirika la kutetea haki za binadamu Ulaya na Mediterania, (EuroMed Rights) limetahadharisha kuhusu ongezeko la ukatili na vitendo vya kutumia mabavu dhidi ya wahajiri katika nchi za Ulaya na limeutaka Umoja wa Ulaya (EU) kukabiliana na ubaguzi barani humo.

  • Boroujerdi: Matamshi ya nchi za Ulaya kuhusu JCPOA si utatuzi wa matatizo ya Iran

    Boroujerdi: Matamshi ya nchi za Ulaya kuhusu JCPOA si utatuzi wa matatizo ya Iran

    Jun 17, 2018 22:02

    Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, matamshi chanya ya viongozi wa nchi za Ulaya kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA hayawezi kutatua matatizo ya Iran bali viongozi hao wanapaswa kuakisi misimamo yao kivitendo na watekeleze ahadi zao kwa kutokubaliana na misimamo ya Marekani.

  • Wito wa mshikamano wa nchi za Ulaya katika kukabiliana na Marekani

    Wito wa mshikamano wa nchi za Ulaya katika kukabiliana na Marekani

    Jun 11, 2018 23:10

    Kansela Angela Merkel wa Ujerumani amebainisha masiktiko yake baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kukataa kuidhinisha taarifa ya mwisho ya kikao cha viongozi wa nchi tajiri kiviwanda G7 ambacho kilimalizika juzi huko Quebec, nchini Canada. Merkel amebainisha wazi kuwa nchi za Ulaya hazipaswi kuitegemea tena Marekani.

  • Tahadhari kali ya Putin kuhusu athari mbaya za kujiondoa Marekani katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA

    Tahadhari kali ya Putin kuhusu athari mbaya za kujiondoa Marekani katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA

    Jun 11, 2018 02:27

    Rais Vladimir Putin wa Russia amekosoa vikali uamuzi wa Marekani wa kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA akisema unatishia usalama na amani ya Mashariki ya Kati.

  • Maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds yaendelea kufanyika katika nchi za Ulaya

    Maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds yaendelea kufanyika katika nchi za Ulaya

    Jun 10, 2018 12:21

    Maandamano ya Siku ya Kimataifa na ya kutetea haki na uadilifu duniani yameendelea kufanyika katika nchi mbalimbali duniani.

  • Madola matatu makuu ya Ulaya yaitahadharisha Marekani na matokeo hasi endapo Iran itajitoa kwenye JCPOA

    Madola matatu makuu ya Ulaya yaitahadharisha Marekani na matokeo hasi endapo Iran itajitoa kwenye JCPOA

    Jun 06, 2018 22:48

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa na wa Fedha wa Ujerumani, Uingereza na Ufaransa wamewaandikia barua mawaziri wenzao wa Marekani wakieleza wasiwasi walionao juu ya uwezekano wa Iran kujitoa kwenye makubaliano ya nyuklia na matokeo hasi ya hatua hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS