Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ulaya

  • Hatua shtukizi na za kivitendo za Iran za kuleta mlingano katika JCPOA

    Hatua shtukizi na za kivitendo za Iran za kuleta mlingano katika JCPOA

    Jun 06, 2018 09:23

    Uamuzi mpya uliotangazwa na Iran wa kustawisha shughuli zake za nyuklia kufuatia agizo lililotolewa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu umeonyesha kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haiwezi kutiwa shemere na kuburuzwa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, bali hatamu za kuamua nini la kufanya ziko mikononi mwake.

  • Ziara ya barani Ulaya ya Netanyahu, na shabaha ya kuivuruga JCPOA

    Ziara ya barani Ulaya ya Netanyahu, na shabaha ya kuivuruga JCPOA

    Jun 04, 2018 22:35

    Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala dhalimu wa Kizayuni ambaye alimchochea rais wa Marekani, Donald Trump, ajitoe katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA hivi sasa ameamua kuzifungia safari nchi za Ulaya kwa ajili ya kuzichochea ili nazo zijitoe kwenye mapatano hayo.

  • Kamanda Sanai Rad: EU na US zina lengo moja la kupunguza nguvu za kiulinzi na makombora za Iran

    Kamanda Sanai Rad: EU na US zina lengo moja la kupunguza nguvu za kiulinzi na makombora za Iran

    May 30, 2018 10:49

    Mkuu wa masuala ya kisiasa katika Ofisi ya Itikadi na Siasa ya Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi yote ya Iran amesema, kupunguza nguvu za kiulinzi na za makombora za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni lengo la pamoja la Ulaya na Marekani na amesisitiza kuwa: Uwezo wa kiulinzi na wa teknolojia za kijeshi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni mstari mwekundu usioweza kuvukwa.

  • Wanaharakati wa haki za binadamu Ulaya wawaunga mkono mashahidi wa Palestina

    Wanaharakati wa haki za binadamu Ulaya wawaunga mkono mashahidi wa Palestina

    May 28, 2018 10:29

    Wanaharakati wa haki za binadamu mjini Brussels Ubelgiji wameweka pea 4500 za viatu mbele ya jengo la Baraza la Umoja wa Ulaya ikiwa ni katika kuwaunga mkono wananchi wa Palestina wanaouliwa shahidi kila leo na wanajeshi katili wa Israel.

  • Iran: Iwapo Ulaya inakusudia kupoteza wakati, basi Tehran haitoendelea na mazungumzo ya JCPOA

    Iran: Iwapo Ulaya inakusudia kupoteza wakati, basi Tehran haitoendelea na mazungumzo ya JCPOA

    May 27, 2018 09:23

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Sayyed Abbas Araqchi amesema kuwa iwapo Tehran itahisi kwamba mazungumzo na Umoja wa Ulaya kuhusiana na kuendelea na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yanaenda kinyume na makusudio au kwamba yanapoteza muda, basi haitoendelea na mazungumzo hayo.

  • Zarif: Iran haijafanya mazungumzo na Ulaya kuhusu uwezo wake wa makombora na ushawishi kieneo

    Zarif: Iran haijafanya mazungumzo na Ulaya kuhusu uwezo wake wa makombora na ushawishi kieneo

    May 26, 2018 10:57

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekanusha kuwepo mazungumzo na nchi za Ulaya kuhusu uwezo wa makombora ya Tehran wala kuhusu ushawishi wake katika eneo.

  • Qassemi: Nchi za Ulaya zitoe dhamana kuwa maslahi ya Iran yatazingatiwa katika mapatano ya JCPOA

    Qassemi: Nchi za Ulaya zitoe dhamana kuwa maslahi ya Iran yatazingatiwa katika mapatano ya JCPOA

    May 21, 2018 08:47

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: "Katika muda mfupi uliosalia, nchi za Ulaya zinapaswa kutoa dhamana kuwa maslahi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yatalindwa baada ya Marekani kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA."

  • Zarif: EU ichukue hatua za kivitendo katika kuendeleza ushirikiano na Iran

    Zarif: EU ichukue hatua za kivitendo katika kuendeleza ushirikiano na Iran

    May 20, 2018 22:02

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: "Umoja wa Ulaya unapaswa kuchukua hatua za kivitendo na kuongeza uwekezaji wake nchini Iran katika kuendeleza ushirikiano wa kibiashara na Tehran."

  • Velayati: Dhamana imara ichukuliwe kutoka nchi za Ulaya kuhusu mapatano ya nyuklia

    Velayati: Dhamana imara ichukuliwe kutoka nchi za Ulaya kuhusu mapatano ya nyuklia

    May 20, 2018 10:18

    Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema: "Mtazamo wa Jamhuri ya Kiislamu ni kuwa, katika mazungumzo na nchi za Ulaya kunapaswa kupatikane dhamana imara ili mapatano ya nyuklia ya JCPOA yasivurugike."

  • Kujizuia Ulaya kubeba gharama za kujitoa Marekani katika makubaliano ya JCPOA

    Kujizuia Ulaya kubeba gharama za kujitoa Marekani katika makubaliano ya JCPOA

    May 12, 2018 07:55

    Jean-Yves Le Drian Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa ameitaja hatua ya Marekani ya kuyawekea mashinikizo mashirika ya nje ambayo yana uhusiano wa kibiashara na Iran kuwa haikubaliki na kueleza kuwa: Nchi za Ulaya hazipasi kubeba gharama za kujitoa Marekani ndani ya JCPOA.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS