-
Kwa nini ni muhimu Ulimwengu wa Kiislamu kuchukua msimamo mmoja dhidi ya utawala wa Kizayuni?
Apr 06, 2025 02:19Katika muendelezo wa sera za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran za kuwaunga mkono wananchi wa Palestina na ulazima wa Ulimwengu wa Kiislamu kuzingatia hali ya Ghaza, Ali Akbar Velayati, Katibu Mkuu wa Baraza la Kimataifa la Mwamko wa Kiislamu ametoa taarifa ya kulaani hujuma za kinyama za utawala vamizi wa Kizayuni dhidi ya wananchi wanaodhulumiwa wa Ghaza na wa kusini mwa Lebanon.
-
Rais wa Iran: Sehemu kubwa ya matatizo ya Ulimwengu wa Kiislamu yanasababishwa na kuwa mbali na mafundisho ya Qur'ani
Feb 01, 2025 03:07Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika ujumbe wake katika hafla ya kumalizika duru ya 41 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'an katika mji wa Mash'had hapa nchini kuwa: Sehemu kubwa ya matatizo ya Ulimwengu wa Kiislamu hii leo ni matokeo ya kuwa mbali na mafundisho ya Qur'ani.
-
Iran yawataka wasomi wa Kiislamu kuzuia dhulma dhidi ya Waislamu huko Palestina na Lebanon
Nov 28, 2024 11:27Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amewataka wanazuoni wa Ulimwengu wa Kiislamu kuwatetea watu wanaodhulumiwa na Waislamu kote duniani, na pia kuchukua maamuzi ya kijasiri ya kusitisha ukatili na jinai zinazofanyika katika Ukanda wa Gaza na Lebanon.
-
Maulamaa wa Kisunni Iran wawaandikia barua wenzao katika Ulimwengu wa Kiislamu kuhusu Vita vya Ghaza
Nov 17, 2024 14:09Mamia ya Maulamaa mashuhuri wa Kisunni wa nchini Iran wametoa wito wa kuchukuliwa hatua za kivitendo na Maulamaa wa Ulimwengu wa Kiislamu katika kukabiliana na jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza.
-
Umoja wa Umma wa Kiislamu, siri ya ushindi dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel
Oct 16, 2024 03:50Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kuleza kuwa Iran iko tayari kusaidia kujenga maelewano ya pamoja ya kiusalama kuhusu hatari ya kihistoria ya utawala wa Kizayuni, amesema: Kuna haja kusimamishwa aina yoyote ya mpango wa kisiasa na kiuchumi unaousaidia utawala huo ghasibu.
-
Ulimwengu wa Kiislamu watakiwa ujiweke tayari kupambana vikali kwa ajili ya Palestina
Mar 06, 2024 03:36Spika wa Bunge la Uturuki Numan Kurtulmus ametoa wito kwa Ulimwengu wa Kiislamu kusimama na Palestina katika mapambano yake dhidi ya kukaliwa ardhi zake kwa mabavu na mauaji ya kimbari.
-
Ulimwengu wa Spoti, Februari 12
Feb 12, 2024 07:33Natumai u mzima wa afya mpenzi msikilizaji popote uliopo. Karibu tuangazie japo kwa mukhtasari baadhi ya matukio yaliyotikisa viwanja mbalimbali, kitaifa, kieneo na kimataifa.
-
Ebrahim Raisi: Kadhia kuu ya Ulimwengu wa Kiislamu ni Palestina na ukombozi wa Quds
Jan 31, 2024 13:36Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kadhia kuu nambari moja ya Ulimwengu wa Kiislamu ni Palestina na ukombozi wa Quds Tukufu, Kibla cha Kwanza cha Waislamu, kutoka kwenye makucha ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Hafla kubwa kabisa ya Qur'ani ya Wanawake wa Ulimwengu wa Kiislamu yafanyika nchini Iran
Apr 21, 2023 01:40Hafla kubwa zaidi ya Qur'ani ya wanawake wa Ulimwengu wa Kiislamu iliyoandaliwa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanyika mjini Tehran kwa kuhudhuriwa na wake wa mabalozi na wanawake wanaharakati katika uga wa Qur'ani.
-
Maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds kufanyia Aprili 14
Apr 05, 2023 02:37Mwenyekiti wa Makao Makuu ya Intifadha na Siku ya Kimataifa ya Quds nchini Iran amesema nara na kaulimbiu ya Siku ya Kimataifa Quds mwaka huu ni: "Palestina ni Mhimili wa Umoja wa Ulimwengu wa Kiislamu, na Quds (Jerusalem) Inakaribia Kukombolewa."