-
Hafla kubwa kabisa ya Qur'ani ya Wanawake wa Ulimwengu wa Kiislamu yafanyika nchini Iran
Apr 21, 2023 01:40Hafla kubwa zaidi ya Qur'ani ya wanawake wa Ulimwengu wa Kiislamu iliyoandaliwa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanyika mjini Tehran kwa kuhudhuriwa na wake wa mabalozi na wanawake wanaharakati katika uga wa Qur'ani.
-
Maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds kufanyia Aprili 14
Apr 05, 2023 02:37Mwenyekiti wa Makao Makuu ya Intifadha na Siku ya Kimataifa ya Quds nchini Iran amesema nara na kaulimbiu ya Siku ya Kimataifa Quds mwaka huu ni: "Palestina ni Mhimili wa Umoja wa Ulimwengu wa Kiislamu, na Quds (Jerusalem) Inakaribia Kukombolewa."
-
Iran: Ulimwengu wa Kiislamu unakabiliwa na ugaidi wa vyombo vya habari
Oct 23, 2022 12:50Waziri wa Utamaduni na Mwongozo wa Kiislamu wa Iran amesema, vyombo vya habari vyenye uadui vinapindua ukweli na kuandaa habari bandia ili kujaribu kutoa taswira isiyo sahihi kuhusu Iran ya Kiislamu na Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Kiongozi Muadhamu: Inatarajiwa ulimwengu wa Kiarabu utaingia medani ya kisiasa kukabiliana na jinai za utawala wa Kizayuni
May 13, 2022 03:46Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema dhulma ya miongo kadhaa ya utawala khabithi wa Kizayuni dhidi ya watu wa Palestina ni ukweli mchungu wa historia na pigo kwa ulimwengu wa Kiislamu na Kiarabu na kuongeza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inataraji kwamba ulimwengu wa Kiarabu utaingia wazi wazi katika medani ya kisiasa kukabiliana na jinai hizo.
-
Khatibzadeh: Iran itaendelea kuwa sauti ya ulimwengu wa Kiislamu
Mar 22, 2022 06:31Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu imejitolea kwa dhati kuendelea kupaza sauti ya ulimwengu wa Kiislamu na mataifa yanayodhulumiwa duniani.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Iran ni miongoni mwa walinzi wa amani ya eneo na Ulimwengu wa Kiislamu
Feb 18, 2022 12:31Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni miongoni mwa nchi chache zenye nguvu za kiulinzi za kudhamini amani na usalama wa eneo na wa Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Viongozi wa Kiislamu Uganda waunga mkono serikali kuhusu mwaka mpya + Sauti
Jan 02, 2022 06:52Serikali ya Uganda imepiga marufuku mijumuiko ya kusherehekea mwaka mpya ili kuzuia maambukizi ya Corona hatua ambayo imeungwa mkono na viongozi wa Kiislamu
-
Maulamaa wa Kiislamu wakosoa hatua ya Imarati na Bahrain ya kuanzisha uhusiano na Israel
Sep 17, 2020 13:14Wananchi na maulamaa katika nchi za Kiislamu wametangaza kuwa wanapinga kuanzishwa uhusiano rasmi na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na kusisitiza kuwa kufanya hivyo ni kuwasaliti Waislamu duniani.
-
Maqarii wa Qurani wa Ulimwengu wa Kiislamu walaani kuvunjiwa heshima Mtume SAW
Sep 11, 2020 07:42Maqarii mashuhuri wa Qurani Tukufu kutoka kona mbalimbali za dunia wamekutana mjini Mashhad, kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ambapo kwa kauli moja, wamelaani vikali hatua ya jarida la Kifaransa la Charlie Hebdo ya kumvunjia heshima Bwana Mtume Muhammad SAW.
-
Khatibzadeh: Makubaliano ya Imarati na Israel ni jeraha kwa Ulimwengu wa Kiislamu
Aug 24, 2020 13:13Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, makubaliano ya utawala wa Imarati na Israel ya kuanzisha uhusiano baina yao ni jeraha kwa Ulimwengu wa Kiislamu na Waislamju katu hawatasahau khiana na usaliti huu dhidi ya Quds.