-
Khatibzadeh: Makubaliano ya Imarati na Israel ni jeraha kwa Ulimwengu wa Kiislamu
Aug 24, 2020 13:13Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, makubaliano ya utawala wa Imarati na Israel ya kuanzisha uhusiano baina yao ni jeraha kwa Ulimwengu wa Kiislamu na Waislamju katu hawatasahau khiana na usaliti huu dhidi ya Quds.
-
Hamas yataka wanazuoni wa Kiislamu waunde kamati ya kuzima njama za Israel
Jun 15, 2020 03:11Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ametoa mwito kwa wanazuoni wa Kiislamu kuunda kamati ya uratibu itakayopewa jukumu la kuunda na kutekeleza mpango wa kistratajia wa kuunga mkono kadhia ya Palestina na kukabiliana na njama za utawala wa Kizayuni wa Israel na Rais Donald Trump wa Marekani zilizopewa jina la "Muamala wa Karne."
-
Iran yaungana na ulimwengu wa Kiislamu katika maadhimisho ya kukumbuka kuzaliwa Imam Mahdi (AF)
Apr 09, 2020 03:57Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeungana na ulimwengu wa Kiislamu hii leo kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa Imam Mahdi (AF).
-
Kiongozi Muadhamu: India isitishe mauaji ya Waislamu iwapo haitaki kutengwa
Mar 05, 2020 13:25Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameitahadharisha serikali ya India dhidi ya kuendelea kutekeleza mauaji ya halaiki dhidi ya Waislamu wa nchi hiyo na kusisitiza kuwa, ukandamizaji unaoendelea kufanyiwa Waislamu katika nchi hiyo ya kusini mwa Asia utapelekea serikali ya New Delhi itengwe katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
Erdogan: Inasikitisha taasisi za Kiislamu zimefeli kushughulikia matatizo ya Waislamu
Dec 19, 2019 13:15Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki ameelezea kusikitishwa kwake na udhaifu wa taasisi na jumuiya za Kiislamu ambazo zimeshidnwa kupatia ufumbuzi changamoto na matatizo yanayozikabili nchi za Kiislamu.
-
Ayatullah Araki: Njia pekee ya kuyapatia ufumbuzi matatizo ya ulimwengu wa Kiislamu ni kuwa na umoja na mshikamano
Nov 30, 2019 11:55Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu ameashiria juu ya kuweko njama za maadui za kuzusha hitilafu na mifarakano baina ya Waislamu na kusema kuwa, pekee ya kuyapatia ufumbuzi matatizo ya ulimwengu wa Kiislamu ni kuweko ushirikiano, umoja na mshikamano baina ya wananchi na mataifa ya Kiislamu.
-
Banki za Iran ni kati ya banki 10 bora za Kiislamu duniani
Sep 08, 2019 03:30Jarida moja maarufu la kimataifa limeorodhesha banki tatu za Iran kuwa kati ya banki 10 bora za Kiislamu duniani.
-
"Iran ni mpiganiaji mkubwa wa umoja wa nchi za Kiislamu"
Apr 28, 2019 16:07Mtaalamu mmoja wa ulimwengu wa Kiislamu kutoka Nigeria amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran daima iko mstari wa mbele katika kupigania umoja na mshikamano baina ya nchi za Kiislamu.
-
Kongamano la Mustakabali wa Ulimwengu wa Kiislamu laanza Tehran
Apr 28, 2019 07:10Kongamano la Mustakabali wa Ulimwengu wa Kiislamu katika Dira ya Mwaka 2035 limeng'oa nanga hii leo hapa katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Tehran, kwa kuwaleta pamoja wanazuoni na wajumbe kutoka nchi mbalimbali duniani.
-
Brunei yaanza kutumia sheria za Kiislamu kuwaadhibu wazinzi na mashoga
Apr 04, 2019 02:38Jamhuri ya Brunei jana Jumatano ilianza kutekeleza awamu ya pili ya sheria za Kiislamu katika adhabu ya makosa ya jinai nchini humo.