-
Ulimwengu wa Spoti, Dec 22
Dec 22, 2025 08:26Hujambo mpenzi mskilizaji na karibu tuangazie baadhi ya matukio makubwa ya spoti yaliyoshuhudiwa ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbali mbali za dunia ukiwemo ufunguzi wa michuano ya AFCON 2025 nchini Morocco.
-
Ulimwengu wa Michezo
Dec 11, 2025 09:04Karibuni mashabiki na wapenzi wa michezo popote pale mlipo katika kipindi chenu hiki cha Ulimwengu wa Michezo kutoka Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran. Leo kapu letu la habari za michezo limesheheni habari kemkem kama ilivyo ada na desturi yake. Mimi ni Ahmed Rashid, karibuni.
-
Ulimwengu wa Spoti, Okt 20
Oct 20, 2025 07:02Hujambo msikilizaji mpenzi, nina wingi wa matumaini kwamba u mzima wa afya. Karibu tuangazie japo kwa ufupi, baadhi ya matukio makubwa yaliyojiri viwanjani katika muda wa siku zilizopita, kitaifa, kieneo na kimataifa. Nakusihi usibanduke hapo ulipo hadi tamati ya kipindi….
-
Ulimwengu wa Spoti, Okt 13
Oct 13, 2025 11:51Ufuatao ni mkusanyiko wa matukio yaliyotifua mavumbi viwanjani ndani ya siku zilizopita duniani, kuanzia hapa Iran hadi barani Afrika.
-
Ulimwengu wa Spoti, Okt 6
Oct 06, 2025 11:13Hujambo mpenzi msikilizaji na karibu tuangazie baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbali mbali za dunia.
-
Ulimwengu wa Spoti, Sep 29
Sep 29, 2025 08:57Natumai u mzima wa afya mpenzi msikilizaji popote pale ulipo. Karibu tuangazie baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbali mbali za dunia.
-
Ulimwengu wa Spoti, Sep 22
Sep 22, 2025 12:09Natumai u mzima wa afya mpenzi msikilizaji popote pale ulipo. Ufuatao ni mkusanyiko wa baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbali mbali za dunia.
-
Ulimwengu wa Michezo, Agosti 31
Aug 31, 2025 09:08Natumai u bukheri wa afya hapo ulipo msikilizaji mpenzi. Karibu tuangazie baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbali mbali za dunia.
-
Spoti, Agosti 25
Aug 25, 2025 07:15Natumai u bukheri wa afya hapo ulipo msikilizaji mpenzi. Karibu tuangazie baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbali mbali za dunia.
-
Spoti, Agosti 18
Aug 18, 2025 09:38Natumai u mzima msikilizaji mpenzi. Karibu tuangazie baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbali mbali za dunia.