-
Ulimwengu wa Michezo Januari 13, 2025
Jan 18, 2025 07:18Karibuni wapenzi wa spoti katika dakika hizi chache za kutupia jicho habari mbalimbali za Ulimwengu wa Michezo. Huenda leo kipindi chetu kikaangalia engo tofauti na tulivyoizoea ya michezo. Lakini pia tutavinjari kwenye viwanja mbalimbali vya spoti kama pale nyasi zilipowaka moto kwenye uwanja wa Gombani, mkoa wa Kusini Pemba katika mashindano ya Mapinduzi Cup, lakini zaidi tutajikita zaidi kwenye engo mpya kidogo. Mtayarishaji na msimulizi wako wiki hii ni mimi Ahmed Rashid.
-
Ulimwengu wa Spoti, Oktoba 28
Oct 28, 2024 09:44Hujambo msikilizaji mpenzi na karibu tuangazie baadhi ya matukio makubwa ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbali mbali za dunia....
-
Spoti, Oktoba 14
Oct 14, 2024 07:21Hujambo msikilizaji mpendwa na hususan ashiki wa habari na za spoti. Karibu tutupie jicho baadhi ya matukio makubwa ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa, kieneo na kimataifa….
-
Ulimwengu wa Spoti, Sep 1
Sep 01, 2024 04:43Hujambo mpenzi mwanaspoti na karibu tuangazie baadhi ya matukio makubwa yaliyoripotiwa viwanjani ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa, kieneo na kimataifa…..
-
Ulimwengu wa Michezo, Agosti 26
Aug 26, 2024 05:03Hujambo mpenzi msikilizaji na hususan shabiki na mfuatiliaji wa habari za spoti. Karibu tuangazie baadhi ya matukio makubwa ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita kitaifa na kimataifa….
-
Ulimwengu wa Spoti, Agosti 19
Aug 19, 2024 06:24Natumai hujambo mpenzi msikilizaji na hususan shabiki na mfuatiliaji wa habari za spoti. Karibu tuangazie japo kwa mukhtasari baadhi ya matukio makubwa ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita kote duniani…
-
Ulimwengu wa Michezo, Agosti 12
Aug 12, 2024 05:17Hujambo msikilizaji mpenzi na karibu tuangazie baadhi ya matukio makubwa ya michezo yaliyoshuhidiwa kote duniani ndani ya siku saba zilizopita…..
-
Ulimwengu wa Michezo, Agosti 5
Aug 05, 2024 06:53Karibu tuangazie japo kwa ufupi baadhi ya matukio makubwa ya michezo yaliyoshuhidiwa kote duniani ndani ya siku saba zilizopita…..
-
Ulimwengu wa Michezo, Jul 29
Jul 29, 2024 07:19Hujambo msikilizaji mpenzi, natumai u mzima wa afya. Kipindi chetu cha leo ni makhsusi kwa ajili ya kuangazia tathmini na dondoo za Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024. Mashindano ya mara hii, yanatumika si tu kama jukwaa la kuitetea Palestina, bali pia ni uwanja wa kulaani na kukosoa jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel na waitifaki wake Wamagharibi, dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Ulimwengu wa Spoti, Jul 22
Jul 22, 2024 05:38Hujambo mpenzi msikilizaji, na karibu tuangazie baadhi ya matukio makubwa ya spoti yaliyoshuhudiwa katika kona mbalimbali za dunia ndani ya siku saba zilizopita...