Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ulimwengu wa Michezo

  • Rais Samia amlilia Pele, atuma salamu za pole Brazil

    Rais Samia amlilia Pele, atuma salamu za pole Brazil

    Dec 31, 2022 01:47

    Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameungana wanasiasa na wanasoka kote duniani kuomboleza kifo cha Pele.

  • CAF: Pele atakumbukwa daima barani Afrika

    CAF: Pele atakumbukwa daima barani Afrika

    Dec 31, 2022 01:44

    Patrice Motsepe, Rais wa Shirikisho la Kandanda barani Afrika (CAF) amesema kuwa, nyota wa kandanda Pele, alikuwa na ''msukumo wa kipekee'' kwa bara la Afrika ambao utaishi milele kwenye mioyo ya wapenzi wa mpira wa miguu.

  • Dunia yaendelea kumuomboleza Pele, akumbukwa kwa wema

    Dunia yaendelea kumuomboleza Pele, akumbukwa kwa wema

    Dec 30, 2022 04:33

    Vigogo wa soka na watu mbali mbali duniani wanaendelea kutuma salamu za rambirambi na pole kufuatia kifo cha Pele, mchezaji mashuhuri wa soka wa Brazil ambaye anatajwa kuwa mwanasoka bora zaidi katika historia.

  • Gwiji wa soka duniani, Pele, afariki akiwa na umri wa miaka 82

    Gwiji wa soka duniani, Pele, afariki akiwa na umri wa miaka 82

    Dec 29, 2022 23:32

    Pele, mchezaji mashuhuri wa soka wa Brazil ambaye anatajwa kuwa mwanasoka bora zaidi katika historia, ameaga dunia.

  • Erdogan: Ronaldo alikalishwa benchi Kombe la Dunia kutokana na uungaji mkono kwa Palestina

    Erdogan: Ronaldo alikalishwa benchi Kombe la Dunia kutokana na uungaji mkono kwa Palestina

    Dec 26, 2022 08:18

    Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amedai kuwa nyota wa soka wa Ureno Cristiano Ronaldo alipigwa marufuku ya kisiasa wakati wa michuano ya Kombe la Dunia ya FIFA ya 2022 iliyomalizika hivi karibuni nchini Qatar kwa kuunga mkono Palestina.

  • FIFA yamteua mwanamke wa Kiislamu kuwa Katibu Mkuu

    FIFA yamteua mwanamke wa Kiislamu kuwa Katibu Mkuu

    May 14, 2016 01:30

    Kwa mara ya kwanza katika historia ya kandanda duniani, Shirikisho la Soka Duniani FIFA limemteua mwanamke wa Kiafrika na Muislamu kuwa Katibu Mkuu wa taasisi hiyo ya kimataifa ya kusimamia mpira wa miguu.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS