-
Tehran mwenyeji wa Kongamano la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu
Dec 05, 2017 08:08Duru ya 31 ya Kongamano la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu imeng'oa nanga hii leo hapa katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Tehran.
-
Velayati: Umoja na mshikamano wa kukabiliana na uzushaji mifarakano ndilo hitajio la Ulimwengu wa Kiislamu leo hii
Dec 02, 2017 15:05Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema: Umoja na mshikamano wa kukabiliana na uzushaji mifarakano ndilo hitajio la Ulimwengu wa Kiislamu leo hii.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Umma wa Kiislamu ukabiliane kwa nguvu na maadui
Dec 01, 2017 15:42Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran ametoa salamu za kheri na fanaka kwa mnasaba wa kuwadia Maulid ya Mtume Muhammad SAW na Wiki ya Umoja wa Kiislamu na kuongeza kuwa: "Waislamu wa madhehebu ya Kisunni na Kishia, wanapaswa kuungana na kuwa na mshikamano na wasimame kidete kupambana na adui wao wa pamoja katika ulimwengu wa Kiislamu."
-
Kongamano la Umoja wa Kiislamu ni nembo ya Umoja wa Ulimwengu wa Kiislamu
Dec 01, 2017 15:33Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu amesema, kongamano la kila mwaka la Umoja wa Kiislamu ni nembo ya umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Umuhimu wa mkutano wa pili wa kimataifa wa Umoja wa Maulamaa wa Muqawama mjini Beirut
Nov 02, 2017 04:09Mkutano wa pili wa kimataifa wa Umoja wa Maulamaa wa Muqawama ulianza hapo jana Jumatano katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut kwa kaulimbiu ya "Umoja kwa ajili ya Palestina-Israel inaelekea kutoweka".
-
Siku ya Kimataifa ya Quds, fursa ya kuimarisha umoja wa ulimwengu wa Kiislamu
Jun 23, 2017 08:22Makundi ya Kipalestina yameitaja Siku ya Kimataifa ya Quds kuwa ni fursa kwa ajili ya kukabiliana na hatari zinazoukabili mji unaokaliwa kwa mabavu wa Quds na kuimarisha umoja wa ulimwengu wa Kiarabu na Kiislamu kupitia muqawama na mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni.
-
Palestina; kadhia ya umoja na kipaumbele cha awali cha Ulimwengu wa Kiislamu
Feb 22, 2017 08:04Msemaji wa Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa kuunga Mkono Intifadha ya Palestina amesema kuwa ujumbe mkuu wa kufanyika mkutano huo hapa Tehran ni kudhihirisha suala la Palestina kama kadhia ya awali inayouhusu Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Mapenzi kwa Ahlul Bayt AS, chimbuko la Umoja wa umma wa Kiislamu
Feb 16, 2017 04:07Ayatulla Mohsen Araki, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu ya Kiislamu amesema, mapenzi kwa Ahlul Bayt wa Mtume Muhammad SAW ni chimbuko la umoja wa umma wa Kiislamu.
-
Mottaki: Umoja wa Waislamu unawatia kiwewe maadui
Jan 07, 2017 07:17Naibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kuyakurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu katika masuala ya Iran amesema umoja na mshikamano wa Waislamu umewakosesha usingizi maadui wa dini hii tukufu.
-
Ayatullah Subhani asisitiza umoja wa Waislamu ili kung'oa mizizi ya utakfiri
Dec 19, 2016 14:46Mmoja wa marajii taqlidi katika mji mtakatifu wa Qum nchini Iran amesisitiza juu ya udharura wa kuungana na kuwa kitu kimoja maulamaa wa Ulimwengu wa Kiislamu ili kutokomeza mizizi ya matakfiri duniani.