-
Mkutano wa kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umeanza leo mjini Tehran
Dec 15, 2016 05:29Duru ya 31 ya mkutano wa kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umeanza hapa mjini Tehran kwa kuhudhuriwa na shakhsia, wanazuoni na wanafikra kutoka nchi mbalimbali duniani.
-
Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu kufanyika Tehran
Dec 14, 2016 04:25Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu amesema mkutano wa kimataifa wa kila mwaka wa Umoja wa Kiislamu utafanyika wiki hii mjini Tehran.
-
Mkutano wa Umoja wa Kiislamu wafanyika Ivory Coast
Dec 05, 2016 15:00Mkutano wa kwanza wa Umoja wa Kiislamu umefanyika nchini Ivory Coast ukiwashirikisha wahadhiri wa vyuo vikuu, wanachuo na wanafunzi wa shule za Kiislamu nchini humo mjini Abidjan.
-
Ayatullah Rafsanjani: Umoja baina ya Shia na Suni ni jambo lenye ulazima
Mar 13, 2016 03:31Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema umoja baina ya Shina na Suni una umuhimu mkubwa mno hususan katika hali na mazingira tete na hasasi yanayoshuhudiwa hivi sasa katika eneo la Mashariki ya Kati na ulimwenguni.