Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • UN yateua mjumbe mpya nchini Libya

    UN yateua mjumbe mpya nchini Libya

    Jun 17, 2017 23:22

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ameteua mjumbe wake mpya wa kufuatilia masuala ya Libya.

  • UN yaonya kuhusu hali ya watu milioni 130 wanaokabiliwa na hali mbaya ulimwenguni

    UN yaonya kuhusu hali ya watu milioni 130 wanaokabiliwa na hali mbaya ulimwenguni

    Jun 17, 2017 23:21

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, watu milioni 130 katika maeneo mbalimbali duniani wanakabiliwa na mugogoro ya kibinadamu na ukimbizi.

  • Qatar yaomba msaada wa Umoja wa Mataifa

    Qatar yaomba msaada wa Umoja wa Mataifa

    Jun 17, 2017 11:03

    Mkuu wa Kamati ya Taifa ya Haki za Binadamu ya Qatar katika ofisi za Umoja wa Mataifa mjini Geneva Uswisi ameuomba umoja huo uingilie kati na kutatua mgogoro ulioanzishwa na Saudia, Imarati, Bahrain na Misri dhidi ya nchi yake.

  • UN: Hitilafu za Eritrea na Djibouti ni natija ya mgogoro wa Waarabu

    UN: Hitilafu za Eritrea na Djibouti ni natija ya mgogoro wa Waarabu

    Jun 17, 2017 10:01

    Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, hitilafu zilizopo hivi sasa kati ya Eritrea na na Djibouti ni matokeo ya mgogoro uliopo baina ya nchi kadhaa za Kiarabu na Qatar.

  •  AU yaahidi kurejesha utulivu Somalia licha ya kuongezeka kwa mashambulio ya al-Shabab

    AU yaahidi kurejesha utulivu Somalia licha ya kuongezeka kwa mashambulio ya al-Shabab

    Jun 16, 2017 03:04

    Umoja wa Afrika umetangaza kuwa, umeazimia kurejesha amani na utulivu nchini Somalia licha ya kuongezeka mashambulio ya wanachama wa kundi la kigaidi la al-Shabab katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.

  • UN yalaani mashambulizi ya kigaidi katika mji mkuu wa Somalia

    UN yalaani mashambulizi ya kigaidi katika mji mkuu wa Somalia

    Jun 15, 2017 12:42

    Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia amelaani mashambulizi yaliyofanyika katika mji mkuu wa nchi hiyo.

  • UN yatetea shirika lake linalohudumia wakimbizi wa Palestina

    UN yatetea shirika lake linalohudumia wakimbizi wa Palestina

    Jun 13, 2017 09:32

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuunga mkono shirika la umoja huo linalohudumia wakimbizi wa Kipalestina, baada ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kutoa wito wa kuvunjwa taasisi hiyo ya kimataifa.

  • Kuendelea radiamali ya asasi za UN kwa uingiliaji wa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Kuendelea radiamali ya asasi za UN kwa uingiliaji wa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Jun 12, 2017 21:55

    Shirika la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina la Umoja wa Mataifa (UNRWA) limesisitiza kuwa, mamlaka ya asasi hiyo yako chini ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kwamba, hakuna mtu mwenye mamlaka ya kuingilia utendaji wa taasisi hiyo.

  • Netanyahu atoa wito wa kuvunjwa UNRWA

    Netanyahu atoa wito wa kuvunjwa UNRWA

    Jun 11, 2017 22:53

    Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel ametoa wito wa kuvunjwa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina la Umoja wa Mataifa (UNRWA), linalowasaidia mamilioni ya wakimbizi wa Kipalestina.

  • Umoja wa Mataifa waelezea wasiwasi wake wa kuenea machafuko katika Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Umoja wa Mataifa waelezea wasiwasi wake wa kuenea machafuko katika Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Jun 10, 2017 03:08

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameelezea wasiwasi ulionao umoja huo wa kuenea zaidi machafuko katika Jamhuri ya Afrika ya Kati huku kukiwa na taarifa kwamba, raia wa nchi hiyo wameendelea kuyakimbia makazi yao.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS