-
Umoja wa Mataifa na hali ya haki za binadamu nchini Bahrain
May 02, 2017 23:14Duru ya 27 ya kikao cha Umoja wa Mataifa kimeanza mjini Geneva kwa lengo la kuchunguza hali ya haki za binadamu nchini Bahrain.
-
Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu kuzidi kuwa mbaya hali ya kibinadamu nchini Mali
May 01, 2017 23:56Ofisi ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa imetahadharisha kuhusiana na kuzidi kuwa mbaya hali ya kibinadamu katika nchi ya Kiafrika ya Mali.
-
Raia milioni moja DRC walazimika kuhama makwao
Apr 28, 2017 22:03Zaidi ya watu milioni moja wamelazimika kuhama makwao kufuatia miezi minane ya machafuko yanayozidi kusambaa katika majimbo ya Kasai, Lomami na Sankuru, kusini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Ubelgiji yajuta kuipiga kura Saudia kupewa uanachama wa Kamati ya Haki za Wanawake ya UN
Apr 28, 2017 03:07Waziri Mkuu wa Ubelgiji amesema nchi hiyo ya Ulaya inajuta kwa kuiunga mkono Saudi Arabia kupewa uanachama wa Kamati ya Haki za Wanawake ya Umoja wa Mataifa.
-
Umoja wa Mataifa na udharura wa kuzingatia mustakbali wa mateka wa Kipalestina
Apr 27, 2017 04:45Umoja wa Mataifa umebainisha wasiwasi wake kuhusu hali waliyonayo mateka wa Kipalestina katika jela za utawala wa Kizayuni ambao wameanzisha mgomo wa kula chakula wakitaka kuboreshewa hali zao kwenye jela hizo.
-
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ana imani na nafasi ya Syria katika kurejesha amani
Apr 24, 2017 06:47Antonio Guterres Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amemtumia ujumbe Rais Bashar al Assad wa Syria akimpongeza yeye na Wasyria wote kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Taifa ya nchi hiyo.
-
Tahadhari ya Umoja wa Mataifa kuhusu maafa ya nyuklia
Apr 23, 2017 02:56Taasisi ya Umoja wa Mataifa ya Utafiti Kuhusu Utokomezaji wa Silaha (UNIDIR) imewasilisha ripoti kamili na kutahadharisha kuwa malumbano ya kimatiafa na vita katika mitandao ya Intaneti ni jambo linaloweza kuibua maafa makubwa ya nyuklia duniani.
-
UN: Ujenzi wa vitongoji katika ardhi za Palestina ni haramu na inapasa usimamishwe kikamilifu
Apr 22, 2017 11:55Mratibu wa amani wa Umoja wa Mataifa amesema, kwa mujibu wa sheria za kimataifa, ujenzi wa vitongoji unaofanywa na Israel katika ardhi unazozikalia kwa mabavu za Palestina ni kinyume cha sheria na inapasa usimamishwe kikamilifu.
-
Al Jaafari: Israel na ugaidi ni pande mbili za sarafu moja
Apr 20, 2017 23:44Mwakilishi wa kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa amesisitiza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel na ugaidi ni pande mbili za sarafu moja na amemlaumu vikali Nikolay Mladenov, mratibu maalumu wa umoja huyo katika mazungumzo ya mapatano ya Mashariki ya Kati kwa kudharau kutaja milima ya Golan ya Syria inayokaliwa kwa mabavu na Israel, katika ripoti yake kwa umoja huo.
-
UN yaionya Saudia dhidi ya kushambulia kwa mabomu bandari ya Yemen
Apr 20, 2017 09:43Umoja wa Mataifa umeutaka muungano wa kijeshi wa Saudi Arabia usishambulie kwa mabomu bandari ya kistaratejia ya Yemen.