-
Ushirikiano wa kiusalama kati ya Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika
Apr 20, 2017 09:33Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika wamesaini makubaliano ya kushirikiana katika suala la usalama.
-
UN yagundua makuburi mengine 17 ya umati nchini Kongo DR
Apr 19, 2017 10:55Timu ya wachunguzi ya Umoja wa Mataifa imegundua makaburi mengine 17 ya umati katika mkoa wa Kasai, katikati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wiki mbili baada ya makaburi mengine kugunduliwa katika eneo hilo.
-
Ethiopia yakataa wito wa UN na EU wa kufanyika uchunguzi dhidi yake
Apr 18, 2017 21:59Waziri Mkuu wa Ethiopia amekataa wito wa Umoja wa Mataifa na Umoja wa Ulaya wa kufanyika uchunguzi huru juu ya mauaji ya mamia ya watu wakati wa maandamano ya miezi kadhaa dhidi ya serikali ya Addis Ababa nchini humo.
-
Wahajiri 9000 waokolewa katika bahari ya Mediterania mwishoni mwa wiki
Apr 18, 2017 11:05Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limesema idadi ya wakimbizi waliookolewa katika bahari ya Mediterania wakijaribu kuelekea barani Ulaya mwishoni mwa wiki imevunja rekodi.
-
Katibu Mkuu wa UN atahadharisha kuwa Daesh wanaweza kuidhibiti tena Libya
Apr 15, 2017 00:17Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuhusu hatari ya kupanuka zaidi udhibiti wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika maeneo mbalimbali ya Libya na hali mbaya inayotawala maeneo yanayodhibitiwa na kundi hilo.
-
UN: Kipindupindu kimeua zaidi ya watu 530 Somalia
Apr 13, 2017 23:26Umoja wa Mataifa na jumuiya za misaada ya kibinadamu zimeonya kwamba kipindupindu kinaenea kwa kasi katika maeneo yaliyoathirika na ukame nchini Somalia wakati nchi hiyo ikiendelea kunyemelewa na hatari kubwa ya baa la njaa.
-
Jumuiya za haki za binadamu: Mjumbe wa UN amefeli Yemen
Apr 13, 2017 23:02Jumuiya na mashirika ya kutetea haki za binadamu yametangaza katika mkutano uliofanyika Paris nchini Ufaransa kwamba Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen, Ismail Ould Sheikh ameshindwa kutekeleza majukumu yake.
-
Udharura wa kutatuliwa haraka mgogoro wa wakimbizi wa Palestina
Apr 12, 2017 03:35Kamishna wa Wakala wa Umoja wa Mataifa wa Misaada na Kazi kwa Wakimbizi wa Palestina UNRWA umetaka mgogoro wa wakimbizi wa Palestina walioenea katika kona zote za dunia, utatuliwe haraka.
-
UN: Wahajiri wa Kiafrika wanauzwa kati ya dola 200 na 500
Apr 11, 2017 10:54Wakala wa wahamiaji wa Umoja wa Mataifa umeeleza wasiwasi wake kutokana kile kinachoonekana ni kurejea kwa biashara ya utumwa.
-
Wakimbizi wa Sudan Kusini: Askari 'wamewachinja raia kama wanyama'
Apr 08, 2017 11:22Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limesema watu zaidi ya 6,000 wamekimbia makazi yao nchini Sudan Kusini na kukimbilia wilaya ya kaskazini mwa Uganda ya Lamwo kujisalimisha na mauaji ya raia yanayofanywa na askari wa serikali ya Juba.