Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • UN yaiongezea MONUSCO muda wa kuhudumu nchini Kongo DR

    UN yaiongezea MONUSCO muda wa kuhudumu nchini Kongo DR

    Dec 21, 2021 23:13

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeuongezea muda wa mwaka mmoja Ujumbe wake wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo MONUSCO na kuwataka walinda amani wa ujumbe huo kuelekeza nguvu zao Kaskazini-Mashariki mwa nchi, huku likisisitizia kufanyika operesheni za pamoja na vikosi vya nchi hiyo, FARDC.

  • Umoja wa Mataifa wawataka viongozi wa Lebanon kutanguliza mbele matakwa vya wananchi

    Umoja wa Mataifa wawataka viongozi wa Lebanon kutanguliza mbele matakwa vya wananchi

    Dec 20, 2021 04:20

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amewataka viongozi wa Lebanon kufanya kazi kwa pamoja ili kutatua migogoro iliyopo nchini humo, huku akitoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuisaidia na kuiunga mkono Lebanon kutokana na matatizo yake ya sasa.

  • Ethiopia: Baraza la Haki za Binadamu la UN linatumika kisiasa

    Ethiopia: Baraza la Haki za Binadamu la UN linatumika kisiasa

    Dec 18, 2021 00:04

    Ethiopia imekosoa kufanyika kwa kikao maalumu cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kujadili na kutathmini visa vya ukiukaji wa haki za binadamu nchini humo kufuatia mzozo unaoendelea kati ya serikali na waasi wa Tigray.

  • Askari walinda amani 28 wa UN wameuawa mwaka huu nchini Mali

    Askari walinda amani 28 wa UN wameuawa mwaka huu nchini Mali

    Dec 17, 2021 23:10

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, askari wake walinda amani 28 wameuawa na wengine 165 wamejeruhiwa nchini Mali katika mwaka huu unaomalizika wa 2021.

  • Marekani, Saudia na utawala wa Kizayuni zachochea kupasishwa azimio dhidi ya Iran UN

    Marekani, Saudia na utawala wa Kizayuni zachochea kupasishwa azimio dhidi ya Iran UN

    Dec 17, 2021 04:39

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa alfajiri ya leo Ijumaa limepasisha azimio dhidi ya Tehran kuhusu kile lilichodai ni hali ya haki za binadamu nchini Iran. Azimio hilo lililorudia tuhuma zile zile za kila siku, limechochewa na madola ya kibeberu na kidikteta kama Marekani, Saudi Arabia na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • UN: Kujenga upya maisha ya Wayemeni ni kugumu zaidi kuliko kujenga upya miundombinu ya nchi hiyo

    UN: Kujenga upya maisha ya Wayemeni ni kugumu zaidi kuliko kujenga upya miundombinu ya nchi hiyo

    Dec 17, 2021 04:38

    Mratibu wa Masuala ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen ametilia mkazo udharura wa kuhuishwa na kujengwa upya maisha ya watu wa Yemen na kusema kuwa, uchumi wa nchi hiyo na maisha ya ndani vimesambaratika.

  • Sisitizo la Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu ulazima wa kuondolewa vikwazo dhidi ya Iran

    Sisitizo la Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu ulazima wa kuondolewa vikwazo dhidi ya Iran

    Dec 15, 2021 07:47

    Antonio Guterres Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika ripoti yake ya 12 kuhusu mchakato wa utekelezwaji azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama ametangaza kuunga mkono mazungumzo ya Vienna baina ya Iran na kundi la 4+1 na akasisitiza udharura wa kuondolewa vikwazo vya upande mmoja vya nyuklia vya Marekani dhidi ya Iran.

  • UN yatoa azimio dhidi ya maamuzi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu eneo la Golan

    UN yatoa azimio dhidi ya maamuzi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu eneo la Golan

    Dec 10, 2021 09:36

    Umoja wa Mataifa mapema leo Ijumaa umepasisha azimio linalolaani na kubatilisha hatua zote za Israel katika eneo la Syria la Golan linalokaliwa kwa mabavu na utawala huo na kuutaka utawala wa Kizayuni ukomeshe hatua zote zinazokiuka sheria za kimataifa.

  • UN: Makubaliano ya amani ya Sudan Kusini yako hatarini

    UN: Makubaliano ya amani ya Sudan Kusini yako hatarini

    Dec 09, 2021 01:02

    Umoja wa Mataifa umeonya kuwa, makubaliano ya amani yaliyofikiwa mwaka 2018 nchini Sudan Kusini yapo katika hatari kubwa kutokana na mwendo wa kinyonga wa kuyatekeleza.

  • WFP yatoa indhari: Hali ya kibinadamu Afghanistan ni mbaya

    WFP yatoa indhari: Hali ya kibinadamu Afghanistan ni mbaya

    Dec 02, 2021 03:57

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula WFP limesema, hali ya kibinadamu nchini Afghanistan ni mbaya na kutoa ombi maalum la kusaidia watu wa nchi hiyo bila kujali masuala ya kisiasa ya nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS